Kama ni kweli kwa watoa ushuhuda hawaa...
Pr3ssure ishaaanza......
Kwanini tusipate snapshot ya barua moja kupata uthibitisho kabisaaa....
Na pia walioitwa wametumia njia ganii...kupiga simu...,Emails Au vyotee????

Habari zenu wanaJF naomba mnijuze jamani mna taarifa kuhusu TRA wale tuliofanya oral interview kule tumaini kwa nafasi za TA,APO na PA manake kuna mtu kaniambia kuwa kaambiwa kuna baadhi wameanza kuitwa sa cjajua Kama kweli au la
Waduuu...
Presure Imekua kubwaaa mpaka..
Naomba kitu kifuatachoo kutoka kwenuu....
Naomba mtusaidie ile No...waliotumia kuwapigiaa simu.. kwa wale mliopigiwa..May be it Can Help.. you know...😨😨😞