Nnaomba mnijuze jamani mna taarifa kuhusu TRA wale tuliofanya oral interview kule Tumaini kwa nafasi za TA, APO na PA manake kuna mtu kaniambia kuwa kaambiwa kuna baadhi wameanza kuitwa sa sijajua Kama kweli au la
Sidhani kama ni kweli nachofikiri ni Job fever ndio inayoprevail kwenye brain za candidates hasa ukizingatia candidate amepiga hatua kutoka kwenye ile nyomi ya watu pale Diamond (Universal set) hadi kwenye oral interview (event set) kurasini ni lazima hii ndoto mara kwa mara ijirudie kwenye brain ya candidates husika
Anyway najua things will be out soon na wengi tu watapata kwahiyo subira muhimu.