Kuitwa Kazini TPDC

Hahaaaaaa senior security officer nikavae magwanda teheeeeeeeee
 
Eng kwan sasa hivi huna kazi?... Wewe endelea na mishe zako, hiyo Riski kama ipo ipo tuuuu

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Eng kwan sasa hivi huna kazi?... Wewe endelea na mishe zako, hiyo Riski kama ipo ipo tuuuu

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.

Kamanda weka mambo sawa ridhiki au risk??
 
Wap nimeandika risk

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
kila mtu aongee anachojisikia, ila ukweli wanao wenyewe
 
Interview mwezi May na wakasema baada ya wiki tatu majibu yatatoka, lakini mpaka leo ni miezi 3 wako kimya au imebuma kama Uhamiaji?
 
ngoja ngoja yaumiza matumbo! haraka haraka haina baraka! kimya kingi kingi kishindo!pema usijapo pema ukipema si pema tena! mkanganyiko hapo
 
Mweeeeeeeee........MUNGU wewe ni tegemeo letu bariki mchakato huu. Amen
 
wanasubiri watoto wao waliomaliza vyuo mwaka huu wachukue vyeti mwezi novemba na disemba wapachikwe ndo muitwe wote. msiwe na haraka wasubilieni wenzenu bac!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…