Jamani naomba kwa kila alipata nafasi ya kazi apokee pongezi zake nyingi sana. Kwa wale ambao hawakufanikiwa msikate tamaa kwani maisha ni foleni kila siku inasogea polepole, hatimaye na nyie mtafikiwa.
Angalia kiambatanishi hapo ili ujue kilichojili
Dah, hongera saaana kwa kutoboa ozone namna hiyo maana si kazi rahisi. Ukiacha uwezo wa mtu bahati pia inanafasi yake huku ikiambatana na sara. Hongera sana once again na kila lakheri katika safari hii mpyahahahahah nimepata thanx lord lol....
Dah, hongera saaana kwa kutoboa ozone namna hiyo maana si kazi rahisi. Ukiacha uwezo wa mtu bahati pia inanafasi yake huku ikiambatana na sara. Hongera sana once again na kila lakheri katika safari hii mpya
thanx meeennnnnnnnnnn kweli MUNGU mkubwaaaaaaaaaaa.......hapa napiga kitu dompo kusherehekea hilo lol....

Tehe teheeeeeeeeeee Congra sana. Ngoja namimi nisherehekee kukusindikiza kwa kusikiliza wimbo wa R-Kelly "Storm is over" na wimbo wa Kara jeremiah "Dear God". Best of luck
Hongera ningekuwa karibu ningekuongezea na Saint Ann
Tatizo PSSR inamakucha ya undugu mfano hu hapa..Afisa Tawala wa Ofisi ya Rais Sekritalieti ya Ajira Doroth Ndabi ni ndugu na Kijana Fransi Ndabi....
ataacha kumpa kazi...
Jamani naomba kwa kila alipata nafasi ya kazi apokee pongezi zake nyingi sana. Kwa wale ambao hawakufanikiwa msikate tamaa kwani maisha ni foleni kila siku inasogea polepole, hatimaye na nyie mtafikiwa.
Angalia kiambatanishi hapo ili ujue kilichojili
karibu sana yani am so happyyyyyyyyyyyyyyy.......thanx psrs kwa kuniona lol....