Kuitwa kaka/dada na mtu umpendae

hiyo mbaya kuitwa sijui kaka...inauma sana
 
Iyo mbaya sana haina tofauti na umwambie mtu wampenda then yy aseme asante hahaaaaa
 
Ha ha ha ha mie ukija na ukaka/udada tunapinguluwa na urafik kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…