Kuitwa Aptitude test BOT.

Kuitwa Aptitude test BOT.

G_Host

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
16
Reaction score
3
Habari wandugu,
Mm nimeitwa kwenye aptitude test BOT katika post ya Business analysts. Naomba wale wenye uzoefu na hizi test wanipe angalizo zinakuaje ili niweze kujiandaa kikamilifu. Asanteni Mungu awabariki[emoji120]
 
Anza kujikumbusha financial analysis ya ratio zote bila kusahau micro&macroeconomics
 
Anza kujikumbusha financial analysis ya ratio zote bila kusahau micro&macroeconomics
Mkuu hii ni business analyst in IT industry, sidhani kama hayo maswali watatoa kama test.
 
Back
Top Bottom