Kuitangaza Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitangaza Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ghost, May 4, 2011.

 1. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari zenu ndugu,

  Jana nikiwa naangalia CNN, I saw an advert of Kenya (kuna sehemu wanaonyesha Mt. Kili); na nakumbuka kuona matangazo za nchi tofauti katika mega media channels of the world kama Al Jazeera, BBC n.k..

  Sasa swali langu ni je Serikali ya Tanzania where do they advertise the country.

  Remember some countries have several ways of advertising their nation eg, Kenya na Ethiopia wana KQ/ET, Long distance runners (Marathon, 1500mts, 800mts etc)..all this can be a way to advertise a nation....hapa kwetu hatuna shirika la ndenge, wala wanariadha wanaojulikana/kutambulika ulimwenguni....

  Nawakilisha...:A S cry:
   
 2. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nilona tangaza la TZ mara moja tu CNN.. miaka ka 2 ilopita...
   
 3. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,458
  Likes Received: 3,723
  Trophy Points: 280
  niliona uzinduzi wa matangazo ya tanzania katika mabasi na taxi za london, pia cnn, na kuna mabalozi wa hisani katika nchi mbali mbali, tanzania nayo labda ina bahati yake, katika pitapita zangu nimegundua wachina wanasaidia sana kutangaza vivutio vyetu na wanafanya nchi yetu inajulikana pia, CHINA NA TOP 3 world tourist destinations na pia ni top tourist generating country( watu wake wanenda kutalii nchi nyingine) pia utalii wake wa ndani ni active na kila mtu ana knowledge ya kutalii, nimekaa hapa miaka sita nina experience , sasa basi kuna mchango wa wachina walio nchini na wale wanaokuja tanzania kutalii, wengi huwa wanapiga picha na kuja kufanya maonyesho mbalimbali, na wana vikundi mbalimbali vyenye hobby za kusafiri, ambazo baada ya maonyesho watu wengi zaidi huwa na ufahamu na kutaka kusafiri, amini usiamini wachina wengi wanadhani afrika ni jangwa, hakuna maji, na ni joto kama jehanamu na wanaamini waafrika ni weusi kwa sababu ya kuungua jua
  sasa angalia tu mifano ya jinsi wanavyosaidia, hii ni bure hawajalipwa ni shughuli zao zinasababisha na vivutio vyetu vijulikane, wengi hawamini hii ni afrika yenye kijani kibichi, fuko nzuri za bahari nk
  angalia post hii katika blog huyu ana series utakuta kaaznia moja mpka mwisho, picha hizi kaanza kuonyesha 2010, na bado anaendelea, utakuta kila post watu kuanzia 7960, nk na pia comments zaidi ya 150, na watu wanafoward hizi picha kwenda kwenye mitandao mingine
  gonga hapa http://blog.sina.com.cn/s/blog_5e74244b0100mkwr.html na hapa http://blog.sina.com.cn/u/1584669771
  huo ni mfano tuu, kwa chini zaidi unaweza kuangalia idadi ya watu waliosoma na kucomment. msela kamsifia sana tour guide jonathan, hongera kaka, umengara huku.
  kwa kuonyesha mfano pia kama mtanzania at least nifanye chochote kwa nchi yangu, na sio kulalamika na kuachia mafisadi kila kitu, siku hizi hata kama sio kosa lao ni mafisadiiiii tuuu ndio rythim ya maisha ya bongo sasa hivi, mimi nimeandika na kuonyesha upande mwingine wa nchi yetu, ambao wengi hawakugusa, utalii sio wanyama na milima peke yao, watu wa tanzania pia ni kivutio kikubwa sana, hebu cheki makabila 12ona kitu, pia misosi, yaani you name it
  hizi zangu
  http://blog.sina.com.cn/s/blog_72f779410100qgfx.html na hapa http://blog.sina.com.cn/s/blog_72f779410100p617.html
  http://blog.sina.com.cn/s/blog_72f779410100owgh.html enjoy
   
 4. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,458
  Likes Received: 3,723
  Trophy Points: 280
  gonga hapa http://blog.sina.com.cn/s/blog_5e74244b0100mkwr.html na hapa http://blog.sina.com.cn/u/1584669771
  http://blog.sina.com.cn/s/blog_72f779410100qgfx.html na hapa http://blog.sina.com.cn/s/blog_72f779410100p617.html
  http://blog.sina.com.cn/s/blog_72f779410100owgh.html enjoy:happy:


  samahani kama lugha italeta vikwazo ila nimeweka tuu kama reference, picha nadhani zitaonekana ila kichina katika computer hambazo hazisupport asian languages zitakua mabox mmatupu. najaribu kueleza kuwa kuna vitu vingi sana vinafanyika ila tuu hatujui na taarifa hazisambazwi vizuri, pia sio lazima kujua kila kitu, teh teh, vingine labda ni siri
   
 5. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,458
  Likes Received: 3,723
  Trophy Points: 280
  You don't have to be Mother Theresa to make a change, you can do things as little as posting information on any public forum. ukiangalia jamii photo vitu ambavyo watu wengi wanaost na kujadili ni burudani na picha za ajabu ajabu, na ndi zina hit kuliko vitu vingine, simaanishi watanzania hawana haki ya kufurahia maisha yao jinsi wanavyotaka ila nini uhakika mataifa mengine pia huangalia topic zetu pale na kuna tofauti sana na vijana wa mataifa mengine wanavyofanya, kuna forum kama ssc
  tanzania tourism
  http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392&page=16
  ttp://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1350433&page=3, ambazo ni international na watu wengi huangalia , tumekua tukiwaomba mjiunge ili kutangaza nchi yetu kwa kupost chochote tu kuhusu tanzania lakini wapi, tumeweka ujumbe huhmu humu JF, blog za watanzania, response ni ya kutia tamaa. at least do something for your country than just complaining, ukijadili ufisadi na siasa humu jf hata kama utavua nguo na kuikemea computer yako, hutobadilisha chochote zaidi ya kujiathiri kiakili na kiafya maana nina uhakiaka utapata madhara tuu, mojawapo ni haya ya kukata tamaa, kuvunjika moyo na kukosa imani na nchi yako, mwisho utakua adui wa nchi yako na utajiunga tuuu na makundi yaugaidi dhidi ya nchi yako
   
 6. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndinda hapo kweli umenena...Tumezidi kulalama..It's time sisi wenyewe tujenge nchi yetu badala ya kulialia kila cku.
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2013
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Sioni km ni issue wakitangaza Mt. Kilimanjaro kwa fund yao na akili yao yote halafu tukakaza entry hadi watoe kil asent tunavyohitaji.
   
 8. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2013
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  hii kitu haijaanza leo
  na wala hili swala halitaisha kesho
  Ni mgogoro wa kimaslahi(UTALII)
  ni hivi.........wakenya kwenye miaka ya sabini na semanini wali encourage utalii unaoitwa (MASS TOURISM) maana yeke nini waliruhusu watalii wengi watembelee vivutio vyao kwa wingi bila kuangalia uwezo wa eneo husika ( carrying capacity)..kumbuka hii ilienda sambamba na ujenzi wa mahoteli,tented camps nk kwenye hifadhi zao).....madhara yake ninini......vivutio vingi kama sio vyote vya Kenya vimepoteza uleuzuri wake wa asili ( naturalness)..........................impact yake ni nini........Watalii wa siku hizi......sio wale wa miaka ya sabini......ni wasomi....waelewa...na wengi wako so attached to nature.......( ndio maana baada ya Rio summit kuna eco..tourism, sustainable tourism,,,nature, based tourism..nk....zipo za aina nyingi hata nikiandika sitamaliza)...aina mpya ya utalii ...( tourism activities which bring minimum impact to the environment with huge economic benefits to the host community).............kwa mijili hiyo..........vivutio vingi vya Kenya vimeshapoteza ule uzuri wake wa asili......na watalii wengi hawavutiwi navyo......wanachokifanya nini?...............ni kutangaza Kilimanjaro...Serengeti ipo Kenya......impact yake kimapato ni ndogo saana.....kwani wageni wato wakiingia Tanzania wanapitia kwenye mipaka halali.....ndani ya mpaka mgeni kama anajua kusoma na kuandika atajua anaingia NCHI HURU INAYOITWA TANGANYIKA.....aibu ni kwa waliowaleta na kuambiwa hivyo vivutio vipo kwao kwani taratibu za kupanda Mt. Kilimanjaro na kuingia serengeti ni za Tanganyika na ma guide ni Watanganyika ...............tunachokipoteza ni zile dola chache zanazotomika pale airport na wakati wageni wapo njiani..............KWAKUWA hatuna NATIONAL CARRIER ambayo ingetuconect na tourist generting countries wageni kupitia Kenya kwa miaka mingi ijao HALIEPUKIKI.....CHA MSINGI TUZUIE NJIA ZA PANYA TU..............kwa hapo hope utapata mwanga....................
   
Loading...