Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Hahaha jizoeshe tu mpka mpate katotoTeh hili neno huwa zito kwangu sijui kwanini, nikimuongelea heri niseme Mr. ila Mme wangu linanipa uzito kutamka, ndo nimuite mbele za watu Mme wanguuu ha ha ha hata ye atakujua tu namsanifu