Unamuita mayo wapeNdo raha ya kuzaa mapema unamuita tu "Mama bhoke"
hahahahaha, umenikumbusha uzi wa kuhusu yeye na mwanae wa kike wakiwa bafuni anamsaidia kutengeneza nywele zakeKwani Dr. Mauki anasemaje juu ya hili!??
Hahaha ndio yule anaethaminisha chura ya mwanae au?Kwani Dr. Mauki anasemaje juu ya hili!??
Nafikiri anafaa sana kuwa consulted kwenye mada kama hizi ..kufuatia alilofanya.hahahahaha, umenikumbusha uzi wa kuhusu yeye na mwanae wa kike wakiwa bafuni anamsaidia kutengeneza nywele zake
teh tehe tehe. Yule ni "mzungu"Nafikiri anafaa sana kuwa consulted kwenye mada kama hizi ..kufuatia alilofanya.
Hahaha ndio yule anaethaminisha chura ya mwanae au?
Mke wangu auHivi kama hamjapata watoto mnaitana vipi
Teh hili neno huwa zito kwangu sijui kwanini, nikimuongelea heri niseme Mr. ila Mme wangu linanipa uzito kutamka, ndo nimuite mbele za watu Mme wanguuu ha ha ha hata ye atakujua tu namsanifuMke wangu au
Mume wako
Tusio na mababy tunakomenti humu kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usinigawe pls[emoji23][emoji23][emoji23] Hivi ujue nakugawa