hukunipata vzr my dear, nimesema kama kina sie nikimaanisha tayari mtakuwa na familia bac ndio ndoa hapo, so mtakuwa hamjafanya lolote kubadili tuliopo ndani/wasiopo ndani, ndio nikasema labda wa kuishi ili kujuana muishie kujuana mkianza familia bac ndio tunakukaribisha kwenye club hivyo...hiyo blue, maneno mazito hayo, very well said my dia...sio wote tunaweza kuvumilia hayo manyanyaso, so wengine bado hayajatuzidi but yakituzidi tutajisogeza tulee wenyewe,kwangu mie inapokuja ishu ya watoto wangu huwa cna mzaha na mtu....
aaaaahhh Lizzy watoto wa watu?? wakina na nani? wanaume? subutu yake!!!!!!!
ngoja nitoke maana naona nataka kuwaka!!!
Kila mtu aishi maisha yake na afanye maamuzi kutokana na kile anachoona sahihi kwenye maisha yake....kwangu mimi sidhani kama ni kujidanganya mtu kuona watu wanaoishi pamoja kabla ya ndoa kama wanakosea....katika kila kitu binadamu tunaongozwa na misingi fula kama dini,elimu,tamaduni...na si lazima tuwe perfect kwenye hiyo misingi ndo uunge/kutounga mkono hoja fulani fulani....
Hakuna ndoa iliyo perfect,wala haitakaa iwepo....haijalishi mliishi pamoja mkajuana sana kabla ya ndoa au hamkuishi,changamoto ziko pale pale...vishawishi na vikwazo viko tu na vinashamiri kila siku....kusema ndoa za siku hizi zimejaa unafiki,sijui ni za siku zipi ambazo hazikuwa na unafiki......manake kukiuka viapo vya ndoa ni kitu kimekuwepo tangu hizo...mapungufu ya kwenye ndoa si unafiki,ni matokeo ya kusihi binadamu wawili ambao wote wamepungukiwa utukufu wa Mungu na wana tamaa...
Sijidanganyi wala simdanganyi muumba wangu anayeona sirini kwa kupinga kuishi pamoja kabla ya ndoa....kutokuishi pamoja kabla ya ndoa hakunifanyi mimi/wala yeyote mkamilifu ila nina sina budi kujitahidi kadri ya uwezo wangu kutii na kufuata taratibu za dini ninayoiabudu....na tamaduni nilizolelewa....
mimi naamini ukipata ubavu wako ambao mungu ndio aliokupangia, hata awe na tabia zipi au mpate misuko suko vipi mtaishi mpaka kifo kiwatenganishe. Tatizo ndoa za siku hizi ni za kulazimisha
hukunipata vzr my dear, nimesema kama kina sie nikimaanisha tayari mtakuwa na familia bac ndio ndoa hapo, so mtakuwa hamjafanya lolote kubadili tuliopo ndani/wasiopo ndani, ndio nikasema labda wa kuishi ili kujuana muishie kujuana mkianza familia bac ndio tunakukaribisha kwenye club hivyo...hiyo blue, maneno mazito hayo, very well said my dia...sio wote tunaweza kuvumilia hayo manyanyaso, so wengine bado hayajatuzidi but yakituzidi tutajisogeza tulee wenyewe,kwangu mie inapokuja ishu ya watoto wangu huwa cna mzaha na mtu....
Ya yule mtu muache kama alivyo mara yes mara no si ndo kama hivyo tena unajua bana acha kunivizia.
Hili linahitaji niwe nimetulia sana nitapost nikiwa home nimetulia
penye red nakupinga 100% tukiendekeza hayo mtakuja kukuta ndugu wanaoana,wakina mama kuwezeshwa hakumaanishi usiolewe,na hii naungana na wazee wa zamani kuwa mtoto wakike asisome,maana sasa hivi wamesoma na kupata kazi anataka wazae hovyo kisa anauwezo wa kulea hii ni hatari sana,cha msingi ni hivi semeni hamtaki kuolewa na msiwe na familia,hata mkiiishi kwa muda ili muweze kufahamiana bado hamtafahamiana kivile, sema tu humu ndani tunaona vitimbi vingi coz tumeshajifunga pingu na kwa wengine kujitoa kwao ndio hivyo wanahofia jamii/watoto etc lakini ishu ya vimbwanga vya ndoa vinaweza kutokea hata mkiamua tu kuishi bila ndoa ila hapo inakuwa rahic kwa mmoja wao kama kazidiwa kujiengua na kuendelea na maisha yake japo kuna muda kwa sheria kwamba mkiishi pa1 kwa muda fulani mnatambulikana kama mume na mke....nadhani ningekuwa cpo ndani nicngeingia kwa ndoa wala bila ndoa, ningejizalia tu nilee nitulie..pwehh ote ndao.
Nami ninaeishi na mwanamke mwenzangu naruhusiwa kuchangia mada hii?
Kwahiyo na wanaotaabika waendelee kung'ang'ana na ndoa kwaajili ya watoto tu eh?Alafu waishie kutaabisha na hao watoto!?Kuhusu ndugu kuoana kwani kuna wanaume wangapi wanaozaa nje ya ndoa zao alafu baadae watoto wa huyo huyo mwanaume wanaletana nyumbani kama wapenzi/wachumba watarajiwa?tukiendekeza hayo mtakuja kukuta ndugu wanaoana,wakina mama kuwezeshwa hakumaanishi usiolewe,na hii naungana na wazee wa zamani kuwa mtoto wakike asisome.
Badala utusaidie mawazo ili na sie tuongeze...
Badala utusaidie mawazo ili na sie tuongeze...
Ushasaidiwa kwa swali litakaloamsha fikra na majadiliano, ili kuweza kujadili vizuri hili swala inabidi kuelewa ndoa ni nini.
Kama huelewi ndoa ni nini, au kama kuna watu tofauti wanaangalia ndoa kwa mitazamo tofauti, tunaweza kushindwa kuelewana bila kuelewa sababu.
Ndiyo maana hili swali ni muhimu sana.