Sasa binti yangu Sky Eclat unashindwaje kunihudumia mimi baba mkwe walk.Hii intones sana kama mume ni mtoto wa kwanza, wa mwisho au mtoto pekee wa kiume. Unaolewa unaanza maisha ukiwa kwa wakwe. Mnapewa chumba chenu na mama mkwe ndiyo mother house.
Unahitaji busara ya hali ya juu. Uzuri wake ni kuwa wakwe watasaidia katika malezi ya watoto. Ukumbuke pia wakwe wanavyozeeka utaishia kuwa mlezi wao.
Nalichukuliaje hili?
Tunakosa tu discipline katika maisha, ukiolewa na kumuona mama mkwe ni kama mama yako. Na mama mkwe akuone kama binti yake.ila inahtaji akili na busara ya ziada ili uishi nao, maneno yatakua mengi sana , hata ufanye jambo zuri wao wataona hujafanya kitu, mda mwingine hutimizi majukumu yako vyema kwa sababu ya hofu, unaweza hata kuzidisha chumvi kwenye chakula nk. huwi na uhuru wa kutosha. mm naona bora uishi sehemu nyingine na mumeo ukweni unaenda kuwatembelea tu.
Wewe fikiria mmezaliwa wasichana wanne na mwanaume mmoja. Wasichana wote wameolewa wewe ndiyo mrithi wa ile nyumba yenu na unategemewa uzae watoto watakao endeleza ukoo.*wakwe wanavyozeeka utaishia kua mlezi wao*.
Kuna mwanamme ambaye mpaka wazazi wake wanazeeka yupo ktk kichumba walichompa wazazi wake ??????.
Labda niseme vijana wajipange ,wanapotaka Oa , wawe tayar na miji yao hata km niupangaji !!!.
Kwapost yako hiii nakile ulichokilenga , nichukue nafasi hii kusema *Wakwe wenye pesa ndo wanaoheshimika zaidi*.
Ndipo ninaposema discipline ya maisha inahitajika. Uzuri wake mume anajua na nafasi ndogo ya kuchepuka. Akirudi nyumbani inabidi awajudumie wazazi wake wazee hivyo akimaliza kazi na nyumbani.yap kuwalea wazazi ni jukumu letu sote na lazima tujitahidi kwa hilo hata kama ni kidogo tule wote ila kuanzia maisha kwa wakwe ngumu kidogo vilevile lazima mwanaume ajitahidi kumsaidia mkewe kuzielewa tabia za mama mkwe ili aishi akiwa anamjua vizuri
Hao wamewezaje? Wazee wanapozeeka wa mahitaji msaada wetu, ni rahisi kuwasaidia kama uko nao karibu.YATAKA MOYO MGUMU KAMA JABALI LA MTONI ASEE......tusiwe wanafiki.Uhuru ni asilimia zero jamani.Labda wakwe waje wakae kwetu........haya mambo wanayaweza wahindi na waarabu
kabila ganiTamaduni za kabila letu hutakiwi kukaa kwa mkwe wala ndugu yeyote ni lazima upambane na hali yako.
[emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]
Kua mrithi Wa nyumba nisuala lingine ,,kuendelea kukaa pale pale kwenye nyumba ya urithi nisuala lingine .Wewe fikiria mmezaliwa wasichana wanne na mwanaume mmoja. Wasichana wote wameolewa wewe ndiyo MRI tho wa ile nyumba yenu na unategemewa uzae watoto watakao endeleza ukoo.
Nimekuelewa vyama mkuu lakini kumbuka wazazi wanyo zeekacwanatumia dawa kila siku na appointments za daktari. Macho haya Ono vizuri kujua Dawa za Leo ni hizi. Huyu mama utakaemuweka atakuwa form four liver?Kua mrithi Wa nyumba nisuala lingine ,,kuendelea kukaa pale pale kwenye nyumba ya urithi nisuala lingine .
Sijui hapo umenielewa.?
Kama mtoto wakiume wafamilia nijukumu lako kuhakikisha wazazi wako wanapata huduma stahiki ktk muda husika namahali popote .
Sijui unanielewa.?.
Naweza kutoa huduma izo ,,either wao wakiwa kwenye nyumba yao namm nipo kwangu ,, nitafanya nn ??? Nitawawekea mmama wakua anawaangalia nakunipa Updates zamaendeleo yao kila siku .
Lkn pia kama ITALIZIMIKA wao kua malangon mwa nyumba yangu kwahuduma zaidi ,Basi watakuja kwangu ,, nawewe utawahudumia kama kawaida ,nawatakaaa as long as Watakapojihisi imetosha ...the same as Wazazi wako watakapokuja kwangu nakukaa mpaka watakapojihisi imewatosha .
Sijui unanielewa yan?????.
Sula lawewe kuogopea kuwalea huo niuvivu wako tuuuu naroho mbaya !!. Wangekua wazazi wako usingewalea ?????. Km hapana ....kwann Wangu mie uwaone mzigo ???. Je nitakosea nitakapoamua kumbadilisha Beki tatu nakua MKE WANGU kwanamna anavyojali wazeee Wangu ????.
Sijui unanielewa yaaan????.
Nihitimishe kwa kusema ,,Binafsi kipimo cha mwanamke wamaisha yangu huwa nakitazama kwa kuangalia upendo wako kwa wazazi Wetu +ndugu+jamaa+marafiki n.k .,Nanikishaona unakaelementi Ka roho mbaya teheeeee nakutumia weeeeee ,badae napiga chini ila SITOKAAA NIOE MWANAMKE MWENYE FIKRA MBOVU KUWAHUSU WAZAZI .
naninaomba Sana Mungu snipe mwanamke aendane sawa na Moyo Wangu .... Nakama nitakua nmeoa naakabadilika ,,labda Limbwata lkn nalo naamin halitonishika maana nimeaga ,, na kwamaana hiyo niseme "Mwanamke Wangu lazima aishi mguu mmoja ndan mwingine nje kama anahisi anakoroho kaivo ,maana kumfukuza mwanamke for the peace of my mind nikasuala kadogo sana km kujimaliza ukiwa ndotoni".
BILA SHAKA UMENIELEWA MADAME.
Inawezekana akawa na kazi nzuri tu au biashara kubwa tu lakini anaishi kwa wazazi wake. Hao ni sababuvyabkujenga nyumba wakaticwazaxivwake wana nyumba.Moja ya kigezo cha mimi kumkubali mwanaume ni awe anajitegemea! Yaani akiwa analelewa its a big deal breaker for me!
Hapana kwa kweli!!!Inawezekana akawa na kazi mzuri tu au biashara kubwa tu lakini anaishi kwa wazazi wake. Hao ni sababuvyabkujenga nyumba wakaticwazaxivwake wana nyumba.
Well ,, wat if km nmekuoa wewe mwanamke uloishia darasa LA tano???? . simara mia ya form four lever ktk suala la umakin???.Nimekuelewa vyama mkuu lakini kumbuka wazazi wanyo zeekacwanatumia dawa kila siku na appointments za daktari. Macho haya Ono vizuri kujua Dawa za Leo ni hizi. Huyu mama utakaemuweka atakuwa form four liver?
Ukiwa mlezi wa wakwe ni Baraka pia tena kubwa kwa wale wanaoamini. Kikubwa ni kuwa kila mwanadam ashapangiwa njia yake ya maisha. Balaa ni pale utakapokataa kushika njia ulopangiwa automatically. Sidhani kama kuna MTU ataniambia alipanga awe hivyo alivyo na hapo alipo. Kila steji ya maisha ni mtihani sana kwetu maana hatujui nini kilicho mbele yetu baada ya hapa. Kikubwa ni kumumba Mungu kile anachokupangia na pale anapokupangia pawe na salama kwako na mafanikio mengi. So mi naona hakuna shida mradi tu uishi kwa furaha na amani na utimize malengo yako. Amen!Hii inatokea sana kama mume ni mtoto wa kwanza, wa mwisho au mtoto pekee wa kiume. Unaolewa unaanza maisha ukiwa kwa wakwe. Mnapewa chumba chenu na mama mkwe ndiyo mother house.
Unahitaji busara ya hali ya juu. Uzuri wake ni kuwa wakwe watasaidia katika malezi ya watoto. Ukumbuke pia wakwe wanavyozeeka utaishia kuwa mlezi wao.
Nalichukuliaje hili?