Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,122
Sasa dume zima utaendaje
kuishi kwa dadako aliyeolewa??unaamka asubuhi unagombania chai na
h/girl?! kwangu mimi haijakaa poa hata kidogo! Kwani huyo shemeji ameoa
ukoo mzima?labda kama dada hajaolewa it might make sense.
Vp wale wanaokaa kwa kaka yao aliyeoa?