Kuingiziwa vidole ukeni.

Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,

Alivaa gloves?
Hivi mnakuwaga na haraka gani mnaposoma?
 
Mie naona ma Dr fanyeni kazi yenu mradi mnatupa huduma nzuri ,Sidhani kama kulikuwa na mazingira ya ubakaji zaidi ya kupata uchunguzi wa kina zaidi
 
Pole mleta mada hiyo ndio bongo zaidi ya uijuavyo sahau samehe then songa mbele, ila kwa inavyoonyesha hujapata mimba bado, sasa jiandae kwa zoezi hilo pindi upatapo mimba utaingiziwa vidole vinne just kuchek njia karibu kila baada ya wiki mbili.

Wasikutishe bidada Sio kila siku utaingizwa vidole vya kupimwa njia, utapimwa njia ukiwa katika wiki zile za mwisho kabisa karibu na kujifungua.
 
ukisema ufanye vile tulivyofundishwa shule,mwanamke yeyote anayeumwa masuala ya tumbo au anatokwa na uchafu kwenye uke ni lazima ufanye per vaginal examination lakini kutokana na mila zetu sometimes tunapuuzia na kutibu kutokana na maelezo yako.hila kwa uaalama zaidi omba na nesi awepo kama haupo comfortable
 
........Hiyo ni kawaida mbona, tena ukija kuwa mjamzito ndio kabisa, kama wewe unaona aibu bora kwenda kwa daktari wa kike. Vile vile usisahau kufanya pap smear, tunashauriwa wanawake kufanya kila mwaka hichi kipimo.


Mdogo wangu Pretty, siku hizi pap smear si common sana, tumehamia kwenye Visual Inspection with Acetic acid (VIA); ukienda kwenye kituo cha afya au hospitali yoyote nchini kwa screening ya cervical cancer / saratani ya shingo ya kizazi ulizia tu wakufanyie VIA; ni simple and efficient!! Screening hii ni muhimu sana kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 30 hadi 50, zingatia!!!
 
paranoid! Kama ulidhani si kitu cha kufanyiwa kwa nini ulikubali kuuingiziwa vidole! Unajifanya kuwa smart kumbe ni mjinga tu maana kama ulidhani si kitu kizuriungekataa kuvua nguo mpaka utafute ukweli kuhusu jambo hili! ungekuja kutuuliza maswali haya kabla ya kuvua nguo na kuingiziwa vidole
 
Kwa professinal doctor yeyote ni wajibu wake kukuambia ukae vyovyote kulingana na ugonjwa wako(Lakini si kukubaka).Na hii ni kukujulisha kwamba si ukeni tu, kwa mfano ukiwa una tatizo la mgoro utaingiziwa kidole kwenye njia ya haja kubwa (Hii ni kwa wanawake na wanaume kwa ujumla).
Hivyo dada usiwe na wasiwasi ni mambo ya kawaida na naombwa umwamini daktari wako!

Be blessed and very sorry my sister, just trust your good Doctor!
 
jamani naona watu wanaongea/wanatoa ushauri pasipo jua kwa kawaida kipimo hicho huitwa PV examination,ni kipimo cha kawaida sana kwa wanawake.japokuwa kama hudhalilisha lkn husaidia sana kubain matatizo ya kina mama .madoctor wengi huwa hawapendelei lkn PV,spectrum examination husaidia sana kubain matatizo ya kia mama katika mji wa uzazi
 
watu wengi huona aibu katika hayo wakiwa wazima wa afya...lakini ukiwa unatatizo linalokusumbua huna budi dada..but pole kama alikuchubua...siku nyingine muombe apake kidole chake mafuta kabla hajakuchomeka..
 
ulitaka aingize kidole bila glove ndo ujue anakuthamini sana? Au ulitaka akuambie ujicheki mwenyewe?
 
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,

1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gan angeweza kuubaini kwa vidole vyake?


Naomba ushauri wa Dr.

hii tabia mbaya sana na inakera sana haswa ugunduapo kuwa hakukuwa na ulazima wowote wa kufanyiwa hivyo washnz.....................
sana watumiao taaluma zao kufanya mambo mabaya na ya kishenzi
 
Sasa ndg yangu unaomba ushauri wa nini ili usaidie nini wakati nguo tayari umeshamvulia na kidole keshakutia? Kama ilisaidia kubaini tatizo lako na ukapata tiba sahihi it's ok, I hope aliishia hapo hakukuingiza nanii...or else uwe muwazi zaidi ili tukushauri kisheria.
 
Kuna raha yake kufanya kazi ya udaktari..sijui kwa nini wenzangu wanataka kuongezewa mshahara?..hiyo kawaida tu kuingizwa vidole, upo wakati unaweza kuingizwa hata chuma!!
 
kichwa waziiii thubutu...mara ya kwanza nilitoa mjicho ila nikagundua ni kipimo cha kawaida baada ya kufanyiwa zaidi ya mara moja na madr tofauti mwingine wa akiwa jinsia yangu

Eeeeh hii nayo balaaa... yaani inakuwaje? anaingiza kidole kwa nyuma?? No way hizi tiba nyingine bana.. mi sikubali....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom