Kuingiziwa vidole ukeni.

Even when performed by a male Gynecologist the presence of a female professional (Med Doctor au hata Nurse) is required.
Furthermore walitakiwa kumwambia about all other alternatives that exist to that examination method...
Sasa bibie RR unamshauri nini dada/mama wa watu? Akashtaki siyo?
 
...
I think the goal here should be to engender trust and confidence between the doctor and patient in order to make patients as comfortable as possible. If the practice is to have a third party to audit such examination, how would the doctors feel? Not trusted? Insisting having a third person during examination may undermine the trust and confidence between the doctor and patient. In deed, for many patients, it turns out a third party can make them feel uncomfortable.

But kama daktari amekiuka ethics zilizowekwa then necessary actions should be taken.

Nimeipenda sana hii para, safi sana EMT
 
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,

1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gan angeweza kuubaini kwa vidole vyake?

Naomba ushauri wa Dr.

kinachokuuma nini, kuingiziwa vidole na dr akiwa amevaa glovs au kukuambia uvue nguo?

Mke wangu alikuwa mjamzito, na akawa anasikia maumivu kwenye kinena. Nilimpeleka bugando, akafanyiwa uchunguzi. Yeye hakuingiziwa kidole, aliingiziwa mkono mzima mpaka kiganja chote kikaishamo. alipata maamivu makali for almost three days. Dr. alimwambia kuna tatizo ukeni, akampa dawa fulani za vidonge, ambazo zinakuwa na kimrija, nikawa namwekea mimi mwenyewe.

kabla ya kwenda hospital, nikijamiana naye, lazima nilikuwa natoka na uchafu mweupe mithili ya mtu aliyekula mchele sasa umemuathiri. na wife alipenda sana kutafuna mchele, kwa hiyo nikampiga ban ya kutafuna mchele. tulipotoka kwa dr, baada ya wiki moja ya kutumia doze ile, ule uchafu sikuona tena, mpaka leo
 
Nafikiri haijawa njema kabisa. Kwanza kuvua nguo zote wakati anataka kuangalia maumivu ya sehemu fulani haileti kwenye akili ya kawaida.
Nashauri wakati mwingine ukatae ikiwezekana uombe kuchekiwa na Dr wa jinsia yako. Pole

unajua nyie mnakuwa kama serikali ya JK. Kilicho siri, mnafanya wazi na kilicho wazi mnafanya siri. Siku zote hospitalini, madaktari bingwa huwa ni opposite sex. na nakwambia mwanamke kumtibu mwanamke mwenzie huwa ni ngumu sana. wanaume wanafnya suala hilo kwa umakini mkubwa. mimi sioni tatizo.
 
jamani, kushika miuchafu ya mtu siyo rahisi, halafu baadae unaenda kupata lunch. ni taaluma yake ilimtuma kufanya hivyo, kwa hali ya kawaida mtu huwezi. ukeni kunapapaswa na kuumeni tu, sio vidole vya kushika matunda, misosi na kadhalika.
 
Pole sana dada, hata mimi nilishawahi kwenda hospitali moja tena kubwa tu nikiwa na tatizo kama lako nilivyoambiwa kipimo hicho nilikataa ikabidi daktari aniandikie tu dawa nashukuru tatizo liliisha ila leo angalau nimefumbuliwa macho kuna watu wamesema hicho kipimo ni cha kawaida nadhani siku nyingine ikitokea nitajitahidi kukubali kufanyiwa kipimo hicho
 
Kwa mwanamke ukishasema tumbo linauma your very complex, kwa kawaida lazima akuulize kama kuna uchafu unatoka ukeni, unapokojoa mkojo unauma, unaharisha au unajua vidonda vya tumbo. Yote haya yanaweza sababisha maumivu chini ya kitovu.
Wanawake almost 90% ukitoka uchafu mweupe kama maziwa yaliyo ganda watakwambia uchafu wa kawaida. Infact hii ni fungus na inasababisha sana maumivu chini ya kitovu. Dr asipochunguza kwa kuweka vidole ukeni unaweza ukanywa madawa aina zote na usipone. Kwa hiyo dada hii ni kawaida. Juzi kuna dada kaja na maumivu kama yako na akiulizwa kama kunauchafu unatoka anakataa nilipompima nilikuta uji umejaa balaa sijui hata mumewe anaenjoy vp na ile miuji.
Lakini huruhusiwi kuingiza vidole kwa binti ambaye ni bikra coz eneo la ukeni huwa tunaamini ni safi na si busara kuvuja bikra ya watu.
Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.
Pole kama hukuandaliwa kawaida Dr anatakiwa kuseek consent kwako mpaka ukubali ukikataa harusiwi kukufanyia kipimo chochote bila ridhaa yako. Be blessed.

by the way Mupirocin inatibu nini !
.........hapo red nimapapenda !
 
Sasa bibie RR unamshauri nini dada/mama wa watu? Akashtaki siyo?
Mimi ningeenda kushtaki, ila yeye naona hakupeleka thread yake Law forum, si unaona ipo JF Drs?. Nataka ajue tu kua it could be qualified as an abuse (EMT alisema kuna mengi ya kuchunguza before it is qualified as such). Wengi wanafanywa hivo sababu hawajui haki zao.
 
Pole sana dada, hata mimi nilishawahi kwenda hospitali moja tena kubwa tu nikiwa na tatizo kama lako nilivyoambiwa kipimo hicho nilikataa ikabidi daktari aniandikie tu dawa nashukuru tatizo liliisha ila leo angalau nimefumbuliwa macho kuna watu wamesema hicho kipimo ni cha kawaida nadhani siku nyingine ikitokea nitajitahidi kukubali kufanyiwa kipimo hicho
You don't have to, unless you are comfortable doing it.
 
Speculum Examination

Before starting the speculum exam, the doctor will warm the speculum to avoid any discomfort the patient may feel from a cold speculum. The doctor will then insert one finger into the vagina to locate the cervix and to determine the angle of the vagina. This is done so she will know the correct angle to insert the speculum. A speculum is a metal instrument that looks somewhat like a duck's bill. The "bills" are inserted into the vagina and opened in order to spread the vaginal walls and visualize the cervix. After the speculum has been opened, a cervical brush and then a spatula will be used to rub a sample of cells off the cervix. This may cause the patient to experience some spotting after the exam, but it will not hurt. The sample of cells is spread onto a slide and this is the Pap smear. Any samples for testing for infections will be collected. Some doctors screen for sexually transmitted diseases routinely. However, most tests will only be done if there is a reason. The speculum is then closed and removed from the patient's vagina. There will be some clicking noises during the locking and unlocking of the speculum; these noises are routine, so there is no need to be concerned by them.

Bimanual Exam

For this part of the exam, the doctor will lubricate her index and middle fingers with K-Y jelly to aid in the comfort of the patient during insertion into the vagina. The doctor will place these two fingers on the cervix while placing her other hand on the patient's abdomen (over her uterus). She will then press down lightly, which does not feel much different from when a doctor presses on the abdomen alone. Both hands are used to get a feeling for the size of the uterus. The doctor may use the fingers inside the vagina to move the cervix around a little to check for any pain, as this would indicate pelvic inflammatory disease. The doctor will then move both her fingers inside the vagina to both the right and left sides of the patient's cervix. She will move her abdominal hand also a little to the right and left to feel for the size of the ovaries and to try to locate any abnormalities. This whole exam may feel a little funny to the patient, but it won't hurt. The patient can try not to tighten her abdominal muscles during the procedure to minimize the discomfort. Some doctors may perform a rectal exam after the pelvic exam.

Hapo kwenye red ndio tatizo lako ila ukisoma maelezo yote utaelewa uhusiano wa kitendo ulichofanyiwa na dr na maumivu uliyoyapata ni kwakuwa pengine hakutumia kilainishi KY Jelly au wewe mgonjwa uli tighten your abdominal muscles wakati wa hiyo prosija.
 
Speculum Examination

Before starting the speculum exam, the doctor will warm the speculum to avoid any discomfort the patient may feel from a cold speculum. The doctor will then insert one finger into the vagina to locate the cervix and to determine the angle of the vagina. This is done so she will know the correct angle to insert the speculum. A speculum is a metal instrument that looks somewhat like a duck's bill. The "bills" are inserted into the vagina and opened in order to spread the vaginal walls and visualize the cervix. After the speculum has been opened, a cervical brush and then a spatula will be used to rub a sample of cells off the cervix. This may cause the patient to experience some spotting after the exam, but it will not hurt. The sample of cells is spread onto a slide and this is the Pap smear. Any samples for testing for infections will be collected. Some doctors screen for sexually transmitted diseases routinely. However, most tests will only be done if there is a reason. The speculum is then closed and removed from the patient's vagina. There will be some clicking noises during the locking and unlocking of the speculum; these noises are routine, so there is no need to be concerned by them.

Bimanual Exam
For this part of the exam, the doctor will lubricate her index and middle fingers with K-Y jelly to aid in the comfort of the patient during insertion into the vagina. The doctor will place these two fingers on the cervix while placing her other hand on the patient's abdomen (over her uterus). She will then press down lightly, which does not feel much different from when a doctor presses on the abdomen alone. Both hands are used to get a feeling for the size of the uterus. The doctor may use the fingers inside the vagina to move the cervix around a little to check for any pain, as this would indicate pelvic inflammatory disease. The doctor will then move both her fingers inside the vagina to both the right and left sides of the patient's cervix. She will move her abdominal hand also a little to the right and left to feel for the size of the ovaries and to try to locate any abnormalities. This whole exam may feel a little funny to the patient, but it won't hurt. The patient can try not to tighten her abdominal muscles during the procedure to minimize the discomfort. Some doctors may perform a rectal exam after the pelvic exam.
Mkuu, unaweza kutwambia what comes before that? shouldn't the gynecologist explain this to the patient BEFORE he starts the examination, and only do it with her consent?
 
unajua nyie mnakuwa kama serikali ya JK. Kilicho siri, mnafanya wazi na kilicho wazi mnafanya siri. Siku zote hospitalini, madaktari bingwa huwa ni opposite sex. na nakwambia mwanamke kumtibu mwanamke mwenzie huwa ni ngumu sana. wanaume wanafnya suala hilo kwa umakini mkubwa. mimi sioni tatizo.

Sasa yule docta mkongomani anaelalamikiwa hapa JF angekuwa gynae ingekuwa vipi?
 
Mkuu, unaweza kutwambia what comes before that? shouldn't the gynecologist explain this to the patient BEFORE he starts the examination, and only do it with her consent?

When a doctor telling you to take off your underwear and you will act then it said you agree and whatever comes will be for your consent. This exam can be physically and emotionally uncomfortable but is necessary for reproductive health. It should be completed without sexual interest--or comment--and should be finished within a few short minutes. Sio jamaa anachovya na kuclick kinembe kutia ashki!

A female worker should be in the exam room during a pelvic exam. Ask for someone to be in the room if you don't then the exam may take longer and lead to be sexual interest rather than exam.

If a physician makes any sexual comment or if the internal exam seems more like a sexual "fingering" tell the examiner to STOP and immediately report the incident to the police. The majority of physicians never violate patients but a few have overstepped the professional boundaries. So this it depend on you the way you will want the exam to be done! Huyo mleta mada alitakiwa alipoambiwa avue chupi amuite nesi wa kike awepo kwenye lile tukio!

Amekosa sana. peleka kesi mahakamani. Ni sexual abuse, not more, not less!
Alikwambia anacho fanya? na alitoa sababu sa kufanya hivo? sio sawa kabisa!

hivi nyie mna matatizo gani?
Yaani vua nguo..panda kitandani... Alafu unapanda na unawekwa kidole eti baada ya kutoka unapiga kelele nyiiiiingi kama umebakwa.
Ulishindwa nini kufunga miguu? Au ulifurahia kupanua miguu.
 
Ulichokuwa ukikitaka kakifanya sasa tatizo liko wapi..

1..Utaratibu huo uko shaka hamna na alitakiwa aingize dole kubwa ndio linatoa uchafu na kuingiza uchafu mbadala
2..Napita nitarudi baadae
BY MIMI DR MGOMO

Wale wale.Hivi shule bado hazijafunguliwa tu??
 
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,

1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gan angeweza kuubaini kwa vidole vyake?

Naomba ushauri wa Dr.

Unajua ni rahisi kujua una tatizo gani kwa kuangalia ute unaotoka ukeni kwako kuliko kusema na kuandika dawa bila kuwa na evidences.

Acheni uchochezi madaktari wako right. La sivyo mngeenda kununua dawa bila kwenda kumuona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom