Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging: Muongozo Kamili

Hapa nimekupata mkuu, shukran.

Jana nilipita wordpress nikachagua domain na hosting plan, hapa nataka nipachague premium theme kali then nilipie. Mdogo mdogo.
 
Hapa nimekupata mkuu, shukran.

Jana nilipita wordpress nikachagua domain na hosting plan, hapa nataka nipachague premium theme kali then nilipie. Mdogo mdogo.
Kama WordPress unayosemea ni ya .com hamna. Nenda NameCheap nunua WP Hosting, itainstall WordPress CMS ndo utumie.

Hio .com ni kampuni private.
 
Napenda kufungulia hio WordPress Org maana Niche nayotaka deal nayo nataka niipangilie Kama mtirirko wa Modules content zilizoshiba, photos na graphics kali.
 
Sina shaka na Faida ya haraka kabisa hata ichukue miezi sita ila nataka haraka kwenye Progress na Smart move.
Nilikuwa najaribu, najitahidi niandae Post zaidi ya 60 kwenye data base yangu zilizoshiba huku nikijifunza mdogomdogo SEO na thing zinavyo work.

Swali 1:
ku post kabla ya kulipia Domain ni Nzuri au mbaya ??

Swali 2:
WordPress.com naona huwezi endelea bila kulipia Domain je hiyo WordPress.org unaweza kufungua Blog ikawa Live then ulipie Domain baadae.
 
Aisee umeandika kwa lugha ngumu hapa.
Hello, ndipo nakua free kidogo. Iko hivi, WordPress ilianza kama open source code then ikageuka community, kuwa kuna mamillion ya ma developers mtandaoni wanaoshare code kuiboresha, na mtu yeyote anaweza itumia bure. Hii ndio utaikuta kwenye WordPress.org.

Ila, ili uweze itumia, utahitaji domain na hosting ambavyo ni vya kulipa. Ukiwa na hivyo, hii WordPress unatumia bute na utaikuta karibia kwenye kila Host kama installable software.

Sema, kwa kuwa ni open-source, ina maanisha mwanzilishi alikua hapati hela yoyote hivyo akafungua kampuni pembeni qkaliita Automatic, ndio hawa wakaleta WordPress.com

Ina maana walotaka kutumia WordPress ni wengi ila mambo ya kununua Hosting na Domain na kuinstall hio WordPress kwenye cPanel yalikua yanachanganya wengi. Hivyo WordPress.com ndo kama suluhu,

Ui yake ni simple kunavigate na ukinunua plan yoyote ile ina hosting ma domain included. Sema owa kuwa ni self hosted kuna mambo mengi ambayo hutokua na access nayo. Mainly cPanel.


Hivyo mambo za msingi kama kuweka ownership verification tags kutoka Google Search Console au Google Analytics itakuwia ngumu, hutoweza modify mambo kama upload limit, memory size, nk. Hutoweza tumia cron jobs na third party plugins za kununua mfano kutoka CodeCanyom.

Hayo mambo yote yanaifanya iwe ngumu wewe kutumia Adsense, so hii ni blogging option kwa wanaotaka ka website minimal kasiko na mambo mengi ya kiufundi. So iko suitable kwa wamama na wale wasio na idea kwenye kutumia internet au computer vizuri. Ndo maana sio nzuri kutumia. Nikisema .com namaanisha WordPress.com

Nikiwa nakuchanganya bado mkuu waeza giogle tofauti kati ya hizi WordPress mbili. Utaelewa zaidi
 
Hopefully nimekujibu vizuri
 
Yeah, hapa pia tunaomba atuelekeze, ni namna gani hizo .com, .net, .io, .me etc zina affect uendeshwaji wa blog.

Au sijui anazungumzia ile wordpress.com yenyewe!?
.com nlikua nazungumzia WordPress.com, domain haihusiani na mafanikio ya blog yako in general
 
UPWORK E-BOOK BURE

E-BOOK inayoelezea Upwork kwa wale wanaotaka fanya Freelancing nakutumia buree

Nicheki PM offa leo na kesho tu
 
✍ Kwa wale wanaotaka nunua domain na hosting lakin hawana kadi ya bank iliyo functional kufanya manunuzi online au PayPal, mnaweza tumia M-Pesa Mastercard.

✍ Utaenda Menu ya Mpesa (*150*00#)
Kisha utachagua Namba 4. Lipa kwa M-Pesa.

✍ Kwenye hio Menu utachagua namba 6, M-Pesa Mastercard then Namba moja, tengeneza kadi.

Utapta Pop up ina Card Number, Expiry Date na CVV . Hio ndo Card yako.

✍ Kueka hela kwenye Card, utapitia Menu hio hio ya Lipa>M-Pesa Mastercard kisha uchague Weka Pesa kwenye card. Utaweka Kiasi na kuweka PIN yako ya M-Pesa, done.

Card husika itakua inaweza nunua chochote online. Kwa kuanzia weka pesa yenye thamani ya walau $15($4 iende kwenye domain, $11 iende kwenye miezi miwili ya Hosting) so Tsh34,000. Japo unaweza weka zaidi kulindana na Hosting Plan utakayonunua.


Pia card husika unaweza ilink directly na PayPal hivyo ukawa unalipa moja kwa moja kutumia PayPal. Ukifanya muamala utakuwa unapokea sms kawaida kwa simu. Na kwa baadhi ya sites utakua unatumiwa confirmation PIN.
 
Mkuu mimi nataka niingie youtube ila changamoto kwenye video editing ni mweupe kabisa, content ninayo na sina shaka kabisa kuhusu hilo...! Msaada wako kwenye hili
 
maelezo mazuri sana. na mm niulize hapa, hivi nikiwa na blog nikaandika makala zangu na zikawa na average click ya 90k per month naweza kulipwa bei gani na Google? Au niulize, Google wanalipa Pesa kiasi gani kwa kila click rate (CTR).



Kingine, kati ya matangazo na Click rate ni kipi kinacholipa zaidi?
 
Mkuu mimi nataka niingie youtube ila changamoto kwenye video editing ni mweupe kabisa, content ninayo na sina shaka kabisa kuhusu hilo...! Msaada wako kwenye hili
Video editing, kama una pc unaweza anza na basic software ambazo ziko special kwa Beginners kama Wondershare Filmora au Movavi. Kama wepesi huuoni waweza pitia videos Youtube zinaoelezea namna ya kuzitumia software husika.


Kwa simu ipo, Filmora Go, CapCut, PowerDirector, nazo ni nyepesi kutumia
 
Malipo ambayo unaweza tegemea toka Adsense hayako constant, factor nyingi zunadetermine thamani ya CPC ya blog, yako ikiwa Audience yako kubwa iko nchi gani, ni paid au ni organic, unaandika kuhusu topics gani, na avg. engagement time per post ikoje.


Unawezackua hata na traffic kubwavya hadi 105k Visits per day, na vado revenue yako ikawa ndogo mno kwa kuwa traffic yako haijachujwa
 
Kwa hyo mnatushauri,tutumie blog gani ili tuweze kulipiwa kwa sababu naambiwa blogger haiwezi ku connect Na Google Adsense especially ikiwa blog yako ni ya Kiswahili.Sasa hapo napata mashaka zaidi.Naombeni mnipe ujuzi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…