Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging: Muongozo Kamili

Unaweza kutengeneza blog ukiwa na 0 knowledge ya programming?
I mean kutumia templates labda😀
Zipo kazi utakuta ni Specific kwa WordPress au Blogger ambazo huitaji ku code. Japo kama ni templates itabidi utumie za kununua ambazo hata ukitumia blog inaonekana ni pro.( ila huandiki kwa profile yako kuwa unatumia templates)

La sivyo kazi zitaenda kwa wengine. Japo nashauri fanya kitu ambacho unahisi ume kimaster, maana competitors wako hawatakuwa vibaya pia.
 
Ngoja nifanye utafiti kuhusu hilo ili kama ni kula msuli wa coding kimtindo nianze.
 
Itakulazimisha u traget TZ

Niche ya Business and Investment naona Kama ina potential na rahisi kuandika content
Shukrani mkuu...

Lakini pia nina swali la nyongeza, hapo juu tumeambiwa kuwa ni rahisi kupata mtonyo kupitia google ads kama ukiandika content za kiingereza kuliko kiswahili. VIpi kama ukitengeneza blog ambayo itakuwa na chaguo la mtumiaji kupata content zile zile kwa lugha aipendayo, aidha kiswahili au kiingereza? Operations za google ads zitakuwaje katika scenario kama hiyo?
 
Kwanini wwanasema ukitaka kupiga pesa haraka ufungue blog ya WordPress tofauti yake na kufuliia Blooger ni Nini??
 
Swali jingine, inabidi blog yako iwe na muda gani ndipo utume maombi ya google adsense? Na inachukua muda gani kupata verification ya google adsense?
 
Zipo kazi utakuta ni Specific kwa WordPress au Blogger ambazo huitaji ku code. Japo kama ni templates itabidi utumie za kununua ambazo hata ukitumia blog inaonekana ni pro.( ila huandiki kwa profile yako kuwa unatumia templates)

La sivyo kazi zitaenda kwa wengine. Japo nashauri fanya kitu ambacho unahisi ume kimaster, maana competitors wako hawatakuwa vibaya pia.
Habari mkuu,Naomba kujua kuna tools tunaweza kutumia kwa sisi ambao English sio lugha ya kwanza ili kufikia na kueleweka kwa nchi zenye English iliyonyooka?
 
Habari mkuu,Naomba kujua kuna tools tunaweza kutumia kwa sisi ambao English sio lugha ya kwanza ili kufikia na kueleweka kwa nchi zenye English iliyonyooka?
Ndio unaweza,

Kama unatumia simu (download keyboard ya Grammarly), kwa computer software insitwa hivyo hivyo.

Unaandika post yako kwa Kiswahili, unatumia Google Translate kuifanya ya Kingereza then ukianza kuiedit ndani ya Granmarly inakua inakuonesha grammatical errors za kufix ile iwe Authentic.
 
Saawa, muda ukiruhusu ntaaleta.
Nime craete jana Blog ya kiingereza
Screenshot_20220813-085227.png
na ku post naona nina View 2 unashauri Nini
 
Nime craete jana Blog ya kiingerezaView attachment 2322661 na ku post naona nina View 2 unashauri Nini
Uko serious mkuu? 😁

Vizuri kama umetengeneza blog, lakini hio part naona una post moja, hivyo hujachukua mi ushauri yote nliyotoa.

Tenga muda andika posts ndefu na zilizopangiliwa vizuri plus kuambatanishwa na picha. Walau 15-30.

Numua domain, TLD yeyote ile . Naona umetumia hio Blogger, so domain i replace subdomain ulopewa.

Tafuta template ilotulia, design logo nzuri.

Na mengine yote nliyoojaribu gusia, then uone. Bado mapema kua na expectagions zozote kama ndo unaanza, jipe muda ufanye hayo yote et.
 
Swali jingine, inabidi blog yako iwe na muda gani ndipo utume maombi ya google adsense? Na inachukua muda gani kupata verification ya google adsense?
Unaeza fungua blog Jumatatu, ukapata Adsense Ijumaa. Inadepend na topics unazogusia, keywords husika, setup workflow yako, idadi ya traffic unayopata na quality ya traffic yenyewe.
 
Kwanini wwanasema ukitaka kupiga pesa haraka ufungue blog ya WordPress tofauti yake na kufuliia Blooger ni Nini??
WordPress ziko aina mbili, ipo WordPress.com na WordPress.org . Hio WordPress.com ni self-hosted so haina tofauti sana na Blogger though imeizidi, maana inayo library kubwa ya Plugins na Themes zinazoweza fanya blog yako ifanye mambo ambayo huwezi fanya kwenye Blogger.

Ila WordPress nayosemea mimi, na wengi ni hio org, maan ni Open Source hivyo huboreshwa kila siku, ukiwa na hosting yako na domain ni kuiinstall na unaweza fanya karibia kila aina ya tovuti (ziwe directories, Ecommerce, memberships, sites za kustream nyimbo, sites za biashara na makampuni, portfolios, etc) so iko powerful kuliko hio Blogger ambako kikubwa unachoweza fanya ni kuandika tu.

Features zote unazopata + Plugins zote zinakupa namna karibia 50 za kuingiza hela na tovuti yako, mbali na matangazo —ukiwa creative.

For more context unaeza Google "WordPress.com vs WordPress.org vs Blogger"
 
Shukrani mkuu...

Lakini pia nina swali la nyongeza, hapo juu tumeambiwa kuwa ni rahisi kupata mtonyo kupitia google ads kama ukiandika content za kiingereza kuliko kiswahili. VIpi kama ukitengeneza blog ambayo itakuwa na chaguo la mtumiaji kupata content zile zile kwa lugha aipendayo, aidha kiswahili au kiingereza? Operations za google ads zitakuwaje katika scenario kama hiyo?
Kwenye hio scenario unaweza fanya site ya Kingereza, lakini ukaeka option ya kubadili lugha, let's say Kiswahili(Kwa WordPress zipo plugin za kununua zinatumia geo-location, ambapo ina detect nchi unayotoka nakukuomesha version ya post husika kwa lugha yako, kama ipo)

Downside ya kufanya hio kitu ni kuwa traffic yako hata iwe nyingi kiasi gani , CPC itakua ndogo mno, hivyo utapata hela kidogo mno kwenye clicks zako.

Kwa kuwa traffic yako itakua haijachujwa, hivyo ni ngumu crawlers wa Google kudecide thamani ya Impressions utakazo pata.
 
Mkuu, usituchoke😀

Vipi nikifanya hivi, natengeneza site moja ya kiingereza ambayo naiombea Adsence, then natengeneza nyingine ya kiswahili ikiwa na mwonekano na content zile zile ila kwa lugha ya kiswahili. Then nafanya kuiunga kwenye ile ya kiingereza kwa kuweka ka button kenye link ya hiyo web ya kiswahili. Lengo ni maarifa yasiwapite pia waswahili wenzangu.

Je, bots wa google wanataamua vipi katika hiyo scenario.?
 
Kuchoka hamna, mkuu. Point ya kuanzisha thread ilikua kushare maarifa kwenye topic husika.Ko maswali yakiwepo, uliza 😁

Nimekupata. Kuliko kucomplicate mambo kuna kitu inaitwa, subdomain. Ukinunua domain, let's say www.kainetics.com na ukaipea hosting, nadhani unayo ruksa ya kuitegenezea subdomain 20 kwa plan ndogo kabisa au unlimited kwa business plan.

Cha kufanya, domain yako ya msingi, bdo inakua site ya kingereza, yaani site kuu. Na inakuwa kwa Kingereza. Then unaweza tengeneza subdomain maalumu kwa ajili ya content za kiswahili, zipo option mbili, either iwe SUFFIX au PREFIX.

Mfano;

Kifupisho cha lugha ya Kiswahili, huwa SW. Hivyo unaenda unda prefixed subdomain ya sw.kainetics.com ukacopy design nzima ya kainetics.com lakini badala ya kuweka content za Kingereza, ukaweka za Kiswahili. Google hawatokuwa na muda nayo.

Option B ni ya kutumia Suffixed subdomain. Mfano ukitembelea bbc.com, utakutana na site ya kingereza. Ila ukitembelea bbc.com/swahili utakutana na content zile zile ila kwa Kiswahili. Unaweza fanya vivyo hivyo kwako pia, as long as files za hizo sites mbili ziko kwa directory tofauti.

Hivyo, kainetics.com inaweza kuwa na aidha sw.kainetics.com au tz.kainetics.com au subdomain yoyote ile. AU kainetics.com/sw au kainetics.com/tz au kainetics.com/swahili zote ni sawa as long as directory zake zijitegemee. Then hutokuwa na shida na Adsense au Adsterra au InfoLinks 🙂
 
Back
Top Bottom