hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,884
- 2,781
Hebu fikiria,
umetoka kwenye maisha ya kuchungwa na baba na mama, hali kadhalika hujafurahia maisha na wala huyajui kwani ulikuwa masomoni kwa muda wote.
Halafu ghafla unaingia kwenye kifungo kingine cha ndoa, hii ni sawa kabisa na kuingia kwenye disco la kukeshasaa mbili na nusu usiku na kisha kutoka saa tatu usiku.
Ili uwe kijana uliye mkamilifu, ni lazima uenjoy maisha yako mwenyewe na uhuru wako binafsi.
Sikubaliana na wewe Bujibuji. Itategemea sana na ukomavu wa akili wa yule aingiae ndoani.
Unaweza kuingia na miaka 18 na bado ukainjoi. Wewe na mwenzio tu inategemea mnachukuliaje ishu nzima ya ndoa
Last edited by a moderator: