Kuingia kwenye ndoa ukiwa na miaka chini ya 25 ni sawa na kuoka disko saa 3 usiku

hekimatele wewe inatakiwa uwe marriage guru

Hi hi hi hi hi hi
Hilo suala la ndoa watu wengi wamelicomplicate na ndio maana kuna wengine mpaka leo wana miaka 35 bado hawajaoa kwa sababu hawaishi excuses. Kila siku wana visingizio. Wanaendelea kuchagua na kuchuja
 
Kabisaaaa.... nimeolewa nkiwa 19 yrs old.....sijajuta kabisaa,na nafurahia sana katika haya maisha ya ndoa....
Na kesho kutwa anniversary yetu na tushapanga tunasherehekeaje.....
Happy me:):):):):):):):)

Itabidi umtafute Bujibuji umpe kadi aje kusherehekea anivesari yenu.
May be he might learn a thing or two
 
Last edited by a moderator:
Sikubaliani na wewe, ndoa nyingi zilizo fungwa chini ya umri wa 30yrs zina migogoro ya kufa mtu na wengi wametengana.

Hata mi sikubaliani na wewe. Kwa hiyo bila bila.
Muulize farkhina amewezaje halafu uje. Sio kwamba changamoto hakuna.
Zipo ila ukomavu wenu wa kuchanganua mambo ndio utakaowafanya mdumu au muishie njiani na kuchukua shortcut
 
Last edited by a moderator:
Hebu fikiria,
umetoka kwenye maisha ya kuchungwa na baba na mama, hali kadhalika hujafurahia maisha na wala huyajui kwani ulikuwa masomoni kwa muda wote.
Halafu ghafla unaingia kwenye kifungo kingine cha ndoa, hii ni sawa kabisa na kuingia kwenye disco la kukeshasaa mbili na nusu usiku na kisha kutoka saa tatu usiku.
Ili uwe kijana uliye mkamilifu, ni lazima uenjoy maisha yako mwenyewe na uhuru wako binafsi.
one size does not fit all...
 
Back
Top Bottom