Kuimarika uchumi: ATCL yaongeza safari za ndani na nje

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Wanajaribu,

Katika hali iliyotabiriwa kinyume na "haters" sasa shirika la ndege la Tanzania limeongeza safari kutokana na mahitaji kuongezeka.Hata kule Katavi ambapo ndege ilikuwa haiendi hadi Rais alipoagiza sasa mahitaji yameongezeka.

Ni suala la muda tu muda umeumbua wengi.
FB_IMG_15784679405382296.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu kubwa kwa NW kuwa "mwanapropaganda". Nina uhakika kiatu cha u NW hakimtoshi,ila buku 7 ndio saizi yake.
Ni hatari sana kwa Taifa kuwa na viongozi aina ya huyu NW,maana ndio yale yale ya "ai wishi ai kuldu hii..".
 
Wakudadavuwa,
Wanaongeza kwa maneno tu hawa... hawafuati kabisa muda wa safari...
1. arehe 23 Dec 2019, ndege iliyokuwa inakwenda Mwanza ikitokea Dar ilighairishwa mara zaidi ya moja huku abiria wakiwa eneo la kusubiria ku-board
2. tarhe 30 Dec 2019, ndege zote za mchana za Dar Mwanza zilifutwa na abiria wote wakaambia watasafiri saa moja usiku na baadaye wakaondoka saa 4
3. Kuna siku binafsi nikiwa natoka Mtwara kwenda Dar, Ndege ilifutwa kabisaa na tukafaulishiwa Precisionair....

Management bado sana...

Mwandoswa alishatwiti hayo hayo kwa ndege ya Entebe Dar
 
Haahaa! Hili shirika lina usanii sana yaani Mwanza ambako wanadai wana wasafiri 40% ya wasafiri wao wote wao hawajapata siku za nyongeza?! Kweli yajayo yanafurahisha.
 
Wakudadavuwa,
Wanaongeza kwa maneno tu hawa... hawafuati kabisa muda wa safari...
1. arehe 23 Dec 2019, ndege iliyokuwa inakwenda Mwanza ikitokea Dar ilighairishwa mara zaidi ya moja huku abiria wakiwa eneo la kusubiria ku-board
2. tarhe 30 Dec 2019, ndege zote za mchana za Dar Mwanza zilifutwa na abiria wote wakaambia watasafiri saa moja usiku na baadaye wakaondoka saa 4
3. Kuna siku binafsi nikiwa natoka Mtwara kwenda Dar, Ndege ilifutwa kabisaa na tukafaulishiwa Precisionair....

Management bado sana...

Mwandoswa alishatwiti hayo hayo kwa ndege ya Entebe Dar

Watu wengi bado hamjajua kuwa ATC bado ni shirika changa linalojiendesha katika nchi yenye sekta changa ya usafiri wa anga. Kuwa na changamoto ni lazima, hasa kwa kuwa safari nyingi ni mpya na pia bado shirika halijajitosheleza 100%

Ndege ikiahirishwa au kufutwa kwa sababu za kiufundi (hata kama hawajasema) ni mara mia zaidi kuliko kuendelea na safari ili kufurahisha abiria. Ni bora zaidi abiria akarudi nyumbani amenuna kuliko akarudi nyumbani maiti.

Bado ATC ina ndege chache na pia miundombinu ya anga ya nchi sio rafiki kuwa
na flexibility ya kuwa na fast response inapokea kuna dharura. Mfano ikitokea ndege ya kwenda Dodoma imepata dharura na kuna A220 ipo idle na inaweza kuitatua dharura hiyo haitaweza maana Airbus haiwezi kutua uwanja wa Dodoma kwa sasa.

All in all, Management ya ATC inajitahidi sana.. sana kuliendesha shirika, matatizo na changamoto zipo. Ikitokea bahati mbaya safari yako ikapata msukosuko (kuahirishwa au kuondolewa) shukuru tu kwa kuwa mara nyingi wamezingatia zaidi usalama wako.

Hata mashirika makubwa duniani yanakumbana na hizi changamoto (kama umesafiri nje utaelewa), na wao usalama ni kitu cha kwanza hata kama safari itakuwa delayed siku 2.
 
Unajua, huwezi muweka mtu anasubiria ku-board hadi muda wa ku-board unafika hakuna anayesema lolote... hadi mtu unaanza kuhisi umeachwa..!!! Majigambo yatolewayo ya kuwaaminusha watu ukamilifu walionao, ukilinganisha na hali halisi havifanani...

HAIWEZEKANI ATCL TU NDO IWE INABADILI MUDA KILA SIKU.... KUNA TATIZO AMBALO WATU KAMA NYIE MNALIFICHA KWA KUDAI NI KAWAIDA...!!! Haiwezekani iwe ni kawaida kila mara....
 
Wanajaribu,

Katika hali iliyotabiriwa kinyume na "haters" sasa shirika la ndege la Tanzania limeongeza safari kutokana na mahitaji kuongezeka.Hata kule Katavi ambapo ndege ilikuwa haiendi hadi Rais alipoagiza sasa mahitaji yameongezeka.

Ni suala la muda tu muda umeumbua wengi.View attachment 1315637

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee

Hivi ATCL nje inaenda nchi gani na gani?

Zitaje!

0 countries!
 
Watu wengi bado hamjajua kuwa ATC bado ni shirika changa linalojiendesha katika nchi yenye sekta changa ya usafiri wa anga. Kuwa na changamoto ni lazima, hasa kwa kuwa safari nyingi ni mpya na pia bado shirika halijajitosheleza 100%

Ndege ikiahirishwa au kufutwa kwa sababu za kiufundi (hata kama hawajasema) ni mara mia zaidi kuliko kuendelea na safari ili kufurahisha abiria. Ni bora zaidi abiria akarudi nyumbani amenuna kuliko akarudi nyumbani maiti.

Bado ATC ina ndege chache na pia miundombinu ya anga ya nchi sio rafiki kuwa
na flexibility ya kuwa na fast response inapokea kuna dharura. Mfano ikitokea ndege ya kwenda Dodoma imepata dharura na kuna A220 ipo idle na inaweza kuitatua dharura hiyo haitaweza maana Airbus haiwezi kutua uwanja wa Dodoma kwa sasa.

All in all, Management ya ATC inajitahidi sana.. sana kuliendesha shirika, matatizo na changamoto zipo. Ikitokea bahati mbaya safari yako ikapata msukosuko (kuahirishwa au kuondolewa) shukuru tu kwa kuwa mara nyingi wamezingatia zaidi usalama wako.

Hata mashirika makubwa duniani yanakumbana na hizi changamoto (kama umesafiri nje utaelewa), na wao usalama ni kitu cha kwanza hata kama safari itakuwa delayed siku 2.
Sasa wanajimwambafy ili iweje wakati wako vibaya sana, natoka Entebe kuja Dar nilitarajia kifika saa sita mchana siku ya ijumaa maajabu niliingia saa 11 asubuh siku ya jumamosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi bado hamjajua kuwa ATC bado ni shirika changa linalojiendesha katika nchi yenye sekta changa ya usafiri wa anga. Kuwa na changamoto ni lazima, hasa kwa kuwa safari nyingi ni mpya na pia bado shirika halijajitosheleza 100%

Ndege ikiahirishwa au kufutwa kwa sababu za kiufundi (hata kama hawajasema) ni mara mia zaidi kuliko kuendelea na safari ili kufurahisha abiria. Ni bora zaidi abiria akarudi nyumbani amenuna kuliko akarudi nyumbani maiti.

Bado ATC ina ndege chache na pia miundombinu ya anga ya nchi sio rafiki kuwa
na flexibility ya kuwa na fast response inapokea kuna dharura. Mfano ikitokea ndege ya kwenda Dodoma imepata dharura na kuna A220 ipo idle na inaweza kuitatua dharura hiyo haitaweza maana Airbus haiwezi kutua uwanja wa Dodoma kwa sasa.

All in all, Management ya ATC inajitahidi sana.. sana kuliendesha shirika, matatizo na changamoto zipo. Ikitokea bahati mbaya safari yako ikapata msukosuko (kuahirishwa au kuondolewa) shukuru tu kwa kuwa mara nyingi wamezingatia zaidi usalama wako.

Hata mashirika makubwa duniani yanakumbana na hizi changamoto (kama umesafiri nje utaelewa), na wao usalama ni kitu cha kwanza hata kama safari itakuwa delayed siku 2.
Mkuu, ni changa kuliko hata precision air?
 
Guys nopi positive sana na ndege zetu mpaka najiogopa, ila kama unasafiri na airtanzania mara kwa mara basi hauwezi kunyanyua mdomo kuwasifia hata siku moja. Kati ya mashirika mabaya kabisa kuwahi kutokea duniani na air tanzania ya sasa imo. Bahati nzuri sana nina access ya magurup ya whatsap na viongozi wakubwa kabisa wa nchi hii. Nimeshapeleka nyuzi nyingi tu kutoka jf kule, na kwingineko kwingi tu nikijua watafuatilia. Ila kadri siku zinavyoenda ndo linaharibika zaidi. Saiz unaweza kukata ndege ya asubuhi ukashangaa unasafiri sa nne usiku. Unaweza kuboard saa nane mchana ukakaa lounge hadi saa mbili usiku na wanaona kawaida sana. Ukiuliza unaambiwa ndege chache, hivi ndege 8 kweli basi tufanye 7 maana moja inaenda nje. Yaan air tanzania ni kero moja kwa zote

Back
Top Bottom