Mbona ishaanza ku poromomoka tena, mkopo ulioingizwa kwenye monetary system ulikuwa solution kwa wiki mbili au tatu, wanaokimbizia dolla nje hawajalala bado wanafanya yao.
Kumanina zenu nyotee mnaopenda dollar ipande juu,
Kumb kuna Watu wanapenda Dollar kupanda.shenzi zao
Haaa haaaa haaaa hadi rahaa
Aseeee!!
Kumanina zenu nyotee mnaopenda dollar ipande juu,
Kumanina zenu nyotee mnaopenda dollar ipande juu,
So imepanda kidogo mkuu!!!Mi mwenyewe imenihathiri sana hii hali. Nimetuma pesa home kwa makadirio ya kupokelewa 7.0M, Ndugu yangu kwenda kupokea pesa anaambiwa ni 5.99M nikachanganyikiwa vibaya. Ikabidi nizichukue dola zangu nikatulia nazo kidogo ijumaa ikaongezeka rate mpaka 2120/dollar nikabadilisha zikafika 6.6M ikawa hauweni kidogo
nasikia imeanza kupanda tena mkuu!
Mkumbuke congo na Zambia walitoa 000 katika pesa yao na siyo kuimalika ki uchumi kabla Kabila hajaingia soda ilikuw inauzwa 75, 000 na bia 150, 000 Kabila alipoingia aliachana na Zaire na kuanza kutumia Franc na wakati huo ilijuwa $1 kwa Franc 2 ndiyo inashuka mpaka sasa 900 na Zambia Michael Satta alitoa 000 ktk pesa yao $1 ilikuwa Kwacha 5000 mpaka 6000.