Mtandao gani wakuu hii ktu?? Voda ama wale wa Zantel??
Mtandao gani wakuu hii ktu?? Voda ama wale wa Zantel??
free account ni 100mb daily lakini premium account(sh 10,000 kwa mwezi) ni full kujiachia kwa mwezi mzima
hivi hawa zantel au voda au airtel inamaana hawajagundua tu.. au kublock proxy ni kazi sana..
nitawezaje kujiunga na huo upremium..