Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Acheni uchizi.....
Wakubwa wenzangu haya ni mawazo yangu na nawaomba myampokee, hii Dowans imezidi na mafisadi by any means wanaitaka hii hela washatongoza kila sehemu hadi kina kagoda washalainika na sasa hivi wanataka kuibadili sheria ya manunuzi ya vyombo vya serikali. Tatizo ni dowans ile mitambo pale ubungo. Kwa nini tusianzishe movement na kwenda kuichoma? Ile tunaipiga kiberiti na kuiteketeza nina uhakika kidomodomo chao kitaishia hapo. Hela ambayo awanaipoteza inaweza kujengwa bwawa lenye kuzalisha umeme mwingi tu lakini wao wamekomalia manunuzi Dowans wanakatakata umeme kila saa ili kutukomoa na kutulazimisha tukubaliane na manunuzi ya mamitambo yao ili waweke hela mfukoni.
Ivuga!
Ikichomwa na ikajulikna imechomwa tumenunua! yaani tunalipa sasa si afadhali kuiacha au kuwasha tupate umeme? lipi bora kati ya hayo?
kuweni wastaarabu,kesi si ipo mahakamani?Mnataka umeme lakini kulipa hamtaki...hayo ndio mambo ya ujamaa holela!
Historia itawahukumu hawa jamaa!
Wakubwa wenzangu haya ni mawazo yangu na nawaomba myampokee, hii Dowans imezidi na mafisadi by any means wanaitaka hii hela washatongoza kila sehemu hadi kina kagoda washalainika na sasa hivi wanataka kuibadili sheria ya manunuzi ya vyombo vya serikali. Tatizo ni dowans ile mitambo pale ubungo. Kwa nini tusianzishe movement na kwenda kuichoma? Ile tunaipiga kiberiti na kuiteketeza nina uhakika kidomodomo chao kitaishia hapo. Hela ambayo awanaipoteza inaweza kujengwa bwawa lenye kuzalisha umeme mwingi tu lakini wao wamekomalia manunuzi Dowans wanakatakata umeme kila saa ili kutukomoa na kutulazimisha tukubaliane na manunuzi ya mamitambo yao ili waweke hela mfukoni.
kwanza mie sioni sababu ya hiyo mitambo kukaa ubungo bora wangehamishia sonbgea au arusha hata kagera tuone kama watakaa na kuijadili wakati wote!
kwani dowans walilpwa umeme tuliotumia kwa miezi tisa?kulipa nini? Kwani umeme tunapewa bure?
Ivuga!
Ikichomwa na ikajulikna imechomwa tumenunua! yaani tunalipa sasa si afadhali kuiacha au kuwasha tupate umeme? lipi bora kati ya hayo?
Wakubwa wenzangu haya ni mawazo yangu na nawaomba myampokee, hii Dowans imezidi na mafisadi by any means wanaitaka hii hela washatongoza kila sehemu hadi kina kagoda washalainika na sasa hivi wanataka kuibadili sheria ya manunuzi ya vyombo vya serikali. Tatizo ni dowans ile mitambo pale ubungo. Kwa nini tusianzishe movement na kwenda kuichoma? Ile tunaipiga kiberiti na kuiteketeza nina uhakika kidomodomo chao kitaishia hapo. Hela ambayo awanaipoteza inaweza kujengwa bwawa lenye kuzalisha umeme mwingi tu lakini wao wamekomalia manunuzi Dowans wanakatakata umeme kila saa ili kutukomoa na kutulazimisha tukubaliane na manunuzi ya mamitambo yao ili waweke hela mfukoni.
bora tuiache tu tupate japo umeme.Wajanja hao,ukiichoma utaambiwa ilikuwa na bima ya NIC,na hapo NIC watatumia pesa zetu kulipa mitambo mipya.Hapa bora kupata umeme tu.
<br />Wakubwa wenzangu haya ni mawazo yangu na nawaomba myampokee, hii Dowans imezidi na mafisadi by any means wanaitaka hii hela washatongoza kila sehemu hadi kina kagoda washalainika na sasa hivi wanataka kuibadili sheria ya manunuzi ya vyombo vya serikali. Tatizo ni dowans ile mitambo pale ubungo. Kwa nini tusianzishe movement na kwenda kuichoma? Ile tunaipiga kiberiti na kuiteketeza nina uhakika kidomodomo chao kitaishia hapo. Hela ambayo awanaipoteza inaweza kujengwa bwawa lenye kuzalisha umeme mwingi tu lakini wao wamekomalia manunuzi Dowans wanakatakata umeme kila saa ili kutukomoa na kutulazimisha tukubaliane na manunuzi ya mamitambo yao ili waweke hela mfukoni.
Ivuga nadhani ni ngumu kuweza kupiga exactly athari ya kuchoma moto mitambo hiyo haitavuka mipaka kwa wasiohusika. Pia Dowans ipo katika hali mbaya kifedha, kuinyima kutokuwasha mitambo hiyo tayari ni pigo kwao ndiyo maana wanahaha kila kukicha ili angalau tuingie mkataba hata wa miezi mitatu ili kuwanusuru. Dawa ni kutowalipa, kutoingia nao mkataba wowote ili wafie mbali.