Kuibua post za zamani ni makosa

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Ni makosa kwa kweli, kuyaleta tena mambo ya vurugu za Kibiti, mandamano ya Mwembechai, kashfa ya EPA, kutekwa kwa Mohammed Dewji.

Haya mambo yamejadiliwa zamani yamekwisha, mtu anaweza kuwa na sababu gani ya kuyaleta tena?

Kama mtu anataka kuyajadili tena haya mambo, lazima iweko sababu, ama sivyo inakuwa kama kufungua upya kesi ambayo imeamuliwa kwa mujibu wa sheria zamani, ambayo kila mwanasheria anajua kwamba ni kosa.

Halafu inaleta distraction kwa kufuatilia mambo yanayotokea sasa.
 
Historia ni Muhimu kwa taifa na jamii yotote

Tuibue tu hata ka enzi za Mkwawa au historia us uhuru na ukombozi Africa
 
Back
Top Bottom