Huwa sishangai nikiona raia wanapiga mwizi hata kama wao hawajaibiwa mwingine anakumbuka tu aliwah ibiwa anamalizia hasira zake paleYani sikuaminii kabisa Kama ndo nishaibiwa
Natoka zangu mkoa, nikaingia Ubungo Terminal SAA mbili usiku,fasta nikakimbilia daladala LA Kariakoo...nikaingia ndani ya gari
gari lilikuwa limejaa...nafasi ikawepo pale mlangoni,nyuma kidogo na dereva..na walikuwa wamesimama wanaume..
wale jamaa waka adjust kama kunipa nafasi nipate kusimama nao...nami nikajibanza nao
nilishukia Manzese,pale Bakhresa...kufika chini tu;nikajisachi mifuko yote hola.!! lakini hela nilikuwa nimeweka mfuko wa nyuma tena 60,000/= haipo
nikajua wale jamaa pale mlangoni pamoja na Konda lao ni moja,ni wezi..
yaani nilikuwa najionaga mjanja ila baada ya kuibiwa na wale jamaa:nilikuwa mdogooo,hata chakula sikuweza kula jioni ilee..
Nimelipenda hilo jina lao. KITENGO MAALUMUlipanda na abiria kitengo maalum mkuu
Ndo wanaitwa hivyo mkuuNimelipenda hilo jina lao. KITENGO MAALUM
weeeee!!!! basi dawa yao hakuna kuongea nao kabisa.Mimi nilikua naskia simu kuwa sabuni,nilikua nawadharau wanaoibiwa.
Mwaka flani hivi nilipita pale kariakoo teja akanionesha simu kali ilikua Huawei.Nikajisemea moyoni ngoja nione hawa maboya huwa wanaiba vipi,nikamvuta pembeni.
Niliikagua simu zaidi ya mara 5,ipo fresh tukakubaliana nimpe 22,000/=.Nilizingatia hatua zote ili nisipigwe,simu nilikua nayo nikampa ela lakini alinilazimisha niiweke kwenye baasha yake sababu watu wataiona.
Nilihakikisha abadilishi kitu,mara tu alivyo nipa nilitoka nduki ghafla nikaanza kukimbizwa na watu wengine wawili lakini nikasikia sauti ya yule teja akisema muacheni.
Nilipanda daladala bila kujua linaelekea wapi huku nikijiona nimewakomesha.Gari ilivyofika muhimbili nikaona ngoja niiangalie simu yangu niliyojipatia bila jasho.
Duuuh,Sikuamini macho yangu....kukuta kipande cha sabuni.
Wale huwa wanatumia NDUMBA
Haaahaaaa naona mkuu ukaenda kusheherekea kwa kufanya usafi na sabuni yako uliyoipata kwa jashoMimi nilikua naskia simu kuwa sabuni,nilikua nawadharau wanaoibiwa.
Mwaka flani hivi nilipita pale kariakoo teja akanionesha simu kali ilikua Huawei.Nikajisemea moyoni ngoja nione hawa maboya huwa wanaiba vipi,nikamvuta pembeni.
Niliikagua simu zaidi ya mara 5,ipo fresh tukakubaliana nimpe 22,000/=.Nilizingatia hatua zote ili nisipigwe,simu nilikua nayo nikampa ela lakini alinilazimisha niiweke kwenye baasha yake sababu watu wataiona.
Nilihakikisha abadilishi kitu,mara tu alivyo nipa nilitoka nduki ghafla nikaanza kukimbizwa na watu wengine wawili lakini nikasikia sauti ya yule teja akisema muacheni.
Nilipanda daladala bila kujua linaelekea wapi huku nikijiona nimewakomesha.Gari ilivyofika muhimbili nikaona ngoja niiangalie simu yangu niliyojipatia bila jasho.
Duuuh,Sikuamini macho yangu....kukuta kipande cha sabuni.
Wale huwa wanatumia NDUMBA
Watu wengi wanaoibiwa simu kwenye daladala mara nyingi huwa wameweka earphone.Wewe kama mimi mkuu, nilipandia ubungo nikashukia Tip Top nlikua nmevaa t shirt fupi kwaiyo simu ilikua inaonekana huku nimechomeka earphones kwa kujiamini kabisa, ile nashuka tu nikasikia Kama navutwa masikio alafu mziki umezima ghafla Sina hili Wala lile najishika mfuko nakutana na paja badala ya simu, asee iliniuma!!
Ahhhhhhh, pole mkuu hili balaa liliwahi kunikumba miaka ya 2012 sehemu ya Uhindini Mbeya, sikuamini macho yangu ila ukweli ni kwamba hawa wajamaa huwa wanatumia nguvu za giza hadi wanafanikiwaMimi nilikua naskia simu kuwa sabuni,nilikua nawadharau wanaoibiwa.
Mwaka flani hivi nilipita pale kariakoo teja akanionesha simu kali ilikua Huawei.Nikajisemea moyoni ngoja nione hawa maboya huwa wanaiba vipi,nikamvuta pembeni.
Niliikagua simu zaidi ya mara 5,ipo fresh tukakubaliana nimpe 22,000/=.Nilizingatia hatua zote ili nisipigwe,simu nilikua nayo nikampa ela lakini alinilazimisha niiweke kwenye baasha yake sababu watu wataiona.
Nilihakikisha abadilishi kitu,mara tu alivyo nipa nilitoka nduki ghafla nikaanza kukimbizwa na watu wengine wawili lakini nikasikia sauti ya yule teja akisema muacheni.
Nilipanda daladala bila kujua linaelekea wapi huku nikijiona nimewakomesha.Gari ilivyofika muhimbili nikaona ngoja niiangalie simu yangu niliyojipatia bila jasho.
Duuuh,Sikuamini macho yangu....kukuta kipande cha sabuni.
Wale huwa wanatumia NDUMBA
Haa ha ha...pole Sana mzee Mungu atakulipiaaNatoka zangu mkoa, nikaingia Ubungo Terminal SAA mbili usiku,fasta nikakimbilia daladala LA Kariakoo...nikaingia ndani ya gari
gari lilikuwa limejaa...nafasi ikawepo pale mlangoni,nyuma kidogo na dereva..na walikuwa wamesimama wanaume..
wale jamaa waka adjust kama kunipa nafasi nipate kusimama nao...nami nikajibanza nao
nilishukia Manzese,pale Bakhresa...kufika chini tu;nikajisachi mifuko yote hola.!! lakini hela nilikuwa nimeweka mfuko wa nyuma tena 60,000/= haipo
nikajua wale jamaa pale mlangoni pamoja na Konda lao ni moja,ni wezi..
yaani nilikuwa najionaga mjanja ila baada ya kuibiwa na wale jamaa:nilikuwa mdogooo,hata chakula sikuweza kula jioni ilee..
Haa ha...na alieibaa hukumuonaaWewe kama mimi mkuu, nilipandia ubungo nikashukia Tip Top nlikua nmevaa t shirt fupi kwaiyo simu ilikua inaonekana huku nimechomeka earphones kwa kujiamini kabisa, ile nashuka tu nikasikia Kama navutwa masikio alafu mziki umezima ghafla Sina hili Wala lile najishika mfuko nakutana na paja badala ya simu, asee iliniuma!!
Niko zangu Kariakoo kuna teja kajigongesha kwangu kisha akaanza kuniletea zakuleta na mm nikaanza kumpandishia akawa mpole, dah! Sijui huwa wanadawa maana ile napiga hatua kadhaa mbele najipapasa mifukon sina kitu. Aisee, niliumia sana ile hata usingiz sikulala.
utaibiwaje mtoto wa kiume..Aisee hakuna kitu kinaweza kukufanya utamani kuliaa lakini Machozi hayatoki Kama Kugombania siti ya Gari umekaa vizuri kuchek mfukoni hakuna Simuu...!! Aisee ilinikutaa mbagala siku mojaa achaa tuu rohoo iliniuma mpaka safari Nikaairisha...tuambie ni tukio gani la kuibiwa kwenye usafiri unalikumbukaaView attachment 870163