Ikiwa alinunuliwa Mbowe hadi akampitisha mtu kugombea urais wakati akiwa na wiki moja ndani ya chama; seuze Wastara!!!!Kwa hiyo nae alinunuliwa awasimange waTZ ajiuguze basi, na nyie msaidieni
Ikiwa alinunuliwa Mbowe hadi akampitisha mtu kugombea urais wakati akiwa na wiki moja ndani ya chama; seuze Wastara!!!!Kwa hiyo nae alinunuliwa awasimange waTZ ajiuguze basi, na nyie msaidieni
Hahaha maoni ya watu humu si mchezoKama ccm yake imeshindwa kumsaidia apambane na hali yake.
Asinywe sumu wala asijinyonge ccm mbele kwa mbele ikinunua madiwani na wabunge kwa hela za walipakodi.
Tatizo ukurupukaji, anafikiri wote mda huwa tunashika remote, kama anaona hawezi kuandika apeleke Facebook.Kaka kwani unakimbizwa wapi?
unapoandika/Toa taarifa toa taarifa kamili.
Huyo Dada kafanyaje,anaumwa nini,asaidiwe nini....sio wote wameangalia Tv au unachowaza wewe na wengine tunawaza sawa na wewe....
Kwakwel CCM impeleke hospital maana aliwatumikia kwel kwelCcm mbele kwa mbeleeee.
Ccm wamemtelekeza
Wanamaisha magumu hao, acha njaa zimewashika kuliko maelezo, kosa akuzoeee utajuta.Wasanii wetu kwa kulialia hawajambo,hivi wao kwa wao huwa hawasaidiani?
Mbona ni wengi sana hapa nchini
Ina maana ni wadananda?sasa hela wanazojidaigi wanazo wanapekaga wapi?Wanamaisha magumu hao, acha njaa zimewashika kuliko maelezo, kosa akuzoeee utajuta.