KUHUSU WANYARWANDA NA WARUNDI, kauli ya JK!!!!!!!!!!!!!

KUHUSU WANYARWANDA NA WARUNDI, kauli ya JK!!!!!!!!!!!!!

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,479
mlioko mikoa ya kagera na kigoma na sumbawanga, tunaomba mtujuze hali ya hewa inaendeleaje jamani, kutokana na kauli ya jk kutaka wahamiaji haramu washughulikiwe, je wanashughulikiwaje?

  1. wanakamatwa na kupelekwa mahakamani kwa kuishi kiharamu?
  2. wanaporwa ardhi waliyokuwa wakimiliki wakati waoni foreigner
  3. wanapakizwa kwenye magari kupelekwa rusumo?
  4. ng'ombe wao hawaibiwi/hawaporwi na polisi au wananchi wa kibongo?
  5. usalama wa taifa,wanajeshi na polisi wanaenda nyumba hadi nyumba kukagua kama mtu ametii amri ya amiri jeshi mkuu au wamemdharau kama alivyofanya kagame?
  6. wale walioolewa au kuoa watz, wameshughulikiwaje, hasa wale ambao baba zao ni watz, watoto wao nao si watz? kwanini wafukuzwe?
tunaomba mtupatie hali halisi ikoje.
 
Hao Wanaoishi Kinyume Na Taratibu Za Uhamiaji,na Ni Raia Wa Rwanda Wasakwe Warejeshwe Makwao.kama Wataenda Kwa magari Haya Kama Ni Kwa Miguu Kama Walivyokuja Haya Ilimradi Warudi Kwao.zifanywe Jitigada Za Kuitoa Rwanda EAC.KAMA TANZANIA ILIMPIGA NDULI MWAKA 78,SEMBUSE KAGAME WA 2013.NAONA TUKIZICHAPA TUTAHESHIMIANA HAPA MJINI. NARUDI, NDO HIVYO HAYATI NDULI WA UGANDA ALIANZA,TUKAZIPIGA MWAKA 78 CHINI YA AMIRI JESHI MKUU WA WAKATI HUO HAYATI MWALIMU NYERERE,HADI LEO TUNAHESHIMIANA NA UGANDA.
 
Warwanda ndiyo basi tena za kwao zilishaisha sasa waende kwao.
 
Acha uchochezi wewe, umetumwa na Kagame???????????

Huyo Kagame unaemtaja hataki hata kusikia Jina la Tanzania, na kama una mawasiliano nae mwambie avamie Kagera au afanye chokochoko yoyote hapa Tanzania kama alivosema ktk Hotuba yake, hakika ataondoka madarakani.
 
Operation haijaanza. Vyombo vya usalama vinaweka mkakati wa kuwasaka majambazi. Ila watu, hasa kutoka Rwanda wame-panic na kuondoka wenyewe, wanadhani Kagame na Kikwete ni maadui kwahiyo ni hatua ya makusudi. wanakimbizwa na yanayosemwa kwenye vyombo vya habari ikiwemo Jamii Forum. halafu katika instances fulanifulani, watendaji, mgambo na dowani wanakuja na kuwambia nyi wahamiaji haramu ondokeni, au lete hela. Ni suala la uhalifu wa viongozi wa chini wanaotake advantage ya mgogoro, vichwa vya magazeti vya wiki mbili za JK, Kagame anatoa wapi kibuli cha kumjibu JK, Jamii Forum kuweka mjadala unaofanya yaje maoni hatari ya kibaguzi, yanayowafanya watu wakimbieeeee......
 
Acha warudi kwao, mbona Warundi hawapigi makelele kama hawa Wanyarwanda.
 
tuambieni wamefikia wapi?
 
kesho naelekea bukoba, ngoja nikajiangalie mwenyewe hali ya hewa ilivyo huko karagwe.
 
Back
Top Bottom