BORN TO FIGHT
Member
- Nov 14, 2014
- 22
- 8
Mm ni Member mwenzenu nimekuja India kwa matibabu ya Mama watoto ila kutokana na yaliyonikuta ningependa kuwapa taadhari kwa member wengine ili wasije kufanya makosa kama ilivyokuwa kwangu mm niliwahi kuja India mwaka 2011 kwa Health checkup lkn kwa kweli bado hospital niliyokwenda ilikuwa Mumbai ni kama sikuridhika kabisa nikasema anyway my nimechagua hospital wrong this time nimekuja nikaenda Apollo ipo MYSORE lkn still majibu yao ni ya juu juu sana nikasema no mgonjwa analalamika maumivu wao wanasema haumwi ikabidi nifanye Research nikagundua hospital moja ipo BANGALORE nitaweka picha ya Signbord yao kwa kweli jamaa wapo sawa atleast unaona seriousness ipo kwa hiyo napenda kuwapa taadhari kwa mnaowaza either kuja kwa kutibiwa au check up ya kawaida mfanye utafiti wa kutosha kabla hamjapanda ndege unless utapoteza fedha bure Nawasilisha