Angalizo kupeleka mgonjwa India Kwa matibabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo kupeleka mgonjwa India Kwa matibabu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MKATA KIU, Oct 16, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu brothers and sisters,

  Nimeona sio mbaya niki share na watanzania wenzangu experience niliyokutana nayo katika harakati zangu za kutaka mama yangu apone ili wengine ambao wanapanga au hawajui waanzie wapi wapate mwangaza...

  Mama yangu ameshapata sana matatizo makubwa ambayo hospitali za ndani zilishindwa kutoa msaada wowote wa ziada zaidi ya kutumia pesa tu ambayo ilitulazimu tumsafirishe mama hadi India katika hospital tofauti as ameumwa mda mrefu so tumezunguka sana kuanzia mumbai, bangalore, hyderabad etc.. Sasa hapa ningependa kutoa angalizo kuhusu apollo as ndio hospitali maarufu na ambayo watanzania wengi wanaenda sana utaratibu wao upo vipi hasa kama unamsafirisha mgonjwa..

  1. Apollo hospitals zipo india nzima but main hospital ipo south india katika mji huitwao Hyderabad, na wana taratibu zao za ajabu ambazo ni vizuri kujipanga mapema.. Kwanza ndege zenye rate nzuri zifikazo kule ni emirates na qatar na zote zinaingia saa 10 usiku kule so ni muhimu kujipanga usafiri na nauli ya tax from RGV international airport (shamshabad) to jubilee hills ilipo apollo hospital ni inr 700 hadi 1000 almost usd 13 to 20 ( ni vizuri kujua bei as wana tabia za kubambika bei wakikuona mgeni) ...

  2. Pili hospital ukifika pale wana utaratibu wa ku deposit money kabla ya kuanza matibabu na minimum rate to deposit ni usd 5000 ndo mgonjwa anakuwa admited kwenye hospital rum na kuanza matibabu na utaona transactions zote zinavyoenda through their system.. Na hela ikipungua una deposit tena kwa ushauri wa haraka ni kwenda na kias atleast cha deposits mbili I mean 10,000 usd ( note kama anaenda for a surgery confirm gharama za surgery toka huku tanzania as kila surgery ina bei yake as from 4000 to 25,000 usd),, but kama ni kawaida tu 10,000 usd zinakuweka safe kupata matibabu excluding your pocket money for guest and meals.

  3. Kwa unaemsindikiza mgonjwa I mean attendant guest house zipo nyingi near by ambazo rate yake inarange kwenye 20 usd to 40 usd per day, kwa wasichana kuna girls hostel ambayo ina charge kama usd 12 per day inamilikiwa na hospital ni ya girls tu na inatumika sana na interns wa hospital as wakiwepo wengi inakuwa haipangishwi( so usiitegemee sana)..

  4. Also jamaa wapo strickly sana kwa mgonjwa kukaa hospital as kama kafanyiwa surgery na amemaliza wanapenda kufosi mkakae nae guest as rums zipo limited na wanapokea wagonjwa wengi kila siku.. Japokuwa bei ya rums za hospital ni expensive sana per day ni around 150 usd to 300 ( it depends with rums)

  5. Also inabid uwe strictly as wana interns wengi sana hasa manesi na wanapenda kuwafundisha kwa kutumia wagonjwa serious so inabid uwe serious kwa kukataa interns ku mtreat mgonjwa wako ( as specialist wanakuwepo kwenye surgery tu na wapo busy na wanategemea interns wajifunze kwa wagonjwa ) interns nurses sio wazuri as kuna muda wanakosea ku treat serious patient ili upangiwe proffessional nurses na sio interns as wana manesi wengi na hao intern ( hawana tatizo zaidi ya mistakes tu as hospital ina manesi wengi sana average kila mgonjwa ana nurse watatu wa kumwangalia plus physicians etc)

  6. Kama unalipiwa na health insurance au kampuni kama viongozi wetu aka wenye nchi ni vyema kuhakikisha toka hujaondoka tanzania kuwa wameshakubaliana utaratibu wa payments through e mails with international division) as ukifika kule hawajakubaliana hawakupokei, na jamaa wapo stricktly sana)

  7. Also kwenye ku change hela zako to rupees ( ushauri ubebe dola as Tshs hazitambuliki sana nchi nyingi so kuchange ni ishu) inabidi ubadilishe dola zako kwa umakini kwa kufuata rate as wahindi wahuni wana tabia ya kubambika ili wapate supernormal profit.

  Kwa leo ni hayo tu mengine nitaongezea kama kuna mtu ana swali kuhusu apollo anakaribishwa, nikipata mda nitakuja na hospital nyingine tulizofika za india as rate zao ndo afadhali, south africa bei zinatisha zaidi
   
 2. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mi nitapelekwa Muhimbili ikishindikana najifia tu.Maisha Yenyewe yapo wapi?
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,721
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Umeeleweka! Ila siku nyingine uandike kwa lugha inayofahamika, kwa kuwa umetuandikia kwa lugha ya uchochoroni na isiyopaswa kuwepo humu GF.
   
 4. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,738
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Hapo ni wapi Mkuu?
   
 5. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Hahahahahahahaa.... na wewe!!!!
   
 6. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  GF?? May be huko. Lakini hapa JF inaeleweka tu.
   
Loading...