kuhusu wachungaji/wamiliki wa makanisa ya kilokole.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
haya wadau nimevunja mwiko.
nasikia (tetesi) hawa jamaaa wana utajiri wa kufa mtu.
eti pia ktk viongozi wa dini (Waislam wakiwemo) wao ndio vinara wa biashara ya mihadarati.
siyo hivyo tuu pia wanadhaniwa kutumia nguvu za giza kutenda miujiza ktk nyumba zao za ibada.
eti pia wengine wanatembea na wake za watu.........na mengi zaidi.
sina ushahidi wa hayo yote.ila yanajadiliwa sana sikuhizi.
na sisi tunaweza kuyadili.labda niwatoe-hofu mimi ni mkristu-nakula nguruwe.lol
hoja ipo mezani.
 
crap as usual............habari ya tetesi ndio unatuletea hapa jamvin
 
crap as usual............habari ya tetesi ndio unatuletea hapa jamvin
huna tofauti na wabunge wa dsm walio2piwa dongo na masaburi.unasahau kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha.tetesi hutengeneza habari kuu.ulitaka ushahidi kwani JF ni mahakama ya kisutu.lol
 
huna tofauti na wabunge wa dsm walio2piwa dongo na masaburi.unasahau kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha.tetesi hutengeneza habari kuu.ulitaka ushahidi kwani JF ni mahakama ya kisutu.lol
Sometimes we have TO AGREE TO DISAGREE............. si kila unapopingwa utoe matusi.............. KADODA11 HAPA NA UKOSIWI....
 
Mwambie kikwete tunataka mafuta na umeme sio porojo zenu!
Mwambie jamaa wameijua janja yakoa!
 
ndio maanake akili kumkichwa wakale wapi na sadaka mnazotoa kanisani hazitoshi?
 
Back
Top Bottom