Polepole kama hAjui kitu ni heri anyamaze au asifikiri kazi ya katibu mwenezi ni kusema lolote ili mradi unakiteteAchama au taasisi yako wengi tunamkumbuka Lawrence Gama ambaye viwanja kama majimaji, Ali hasani mwinyi vilijengwa wakati akiwa mkuu wa mikoa husika wakati wa ujenzi wa viwanja hivi bia, soda na bidhaa nyingine ziliongezwa bei ili pesa iende kwenye ujenzi huo waliokuwa wanatumia bidhaa hizo ni wananchi wote, baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi ccm kwa makusudi waliamua kuvihodhi viwanja hivyo