Mahakama ilishatolea uamuzi suala hili.kwanini Chadema hawaei kuchallenge hii ishu mahakamani?
Nazungumzia hili kwa kuwa viongozi wetu wanajinasibu kuwa ni waadilifu.Kama ccm wanataka wamiliki Mali halali basi warudishe Mali ya watanzani wote. Nasema hili kama raia wa kawaida ambaye mzazi wangu ambaye hakuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini alichangia ujenzi wa viwanja.kwanini Chadema hawaei kuchallenge hii ishu mahakamani?
Sijawahi kuwa mwanachama wa chadema wala ccm na nitabaki kuwa raia wa kawaida. Ila upo toa dukuduku ni lazima uwe chadema?Chadema imewashinda hata kujenga ofisi yao tu,
Kazi kujifanya wanajua kila kitu kuhusu Mali za wengine!!
Shame on you
kwanini Chadema hawaei kuchallenge hii ishu mahakamani?
Mahakama ipi?kwanini Chadema hawaei kuchallenge hii ishu mahakamani?
kesi ilifunguliwa CCM wakashinda? nafikiri ni kesi ambazo zinatakiwa kati ya halmashauri za miji vs CCM. mfano uwanja wa Sokoine iwe halmashauri ya jiji la Mbeya vs CCM. ilikuvyo au ilikuwaje?Mahakama ilishatolea uamuzi suala hili.
Huo ndo uhalisia halafu polepole anadai viwanja vimetokana na uwekezaji wa chamaPolepole toa uthibitisho wa TANU au CCM kununua Kiwanja Na kampuni zilizojenga .Viwanja vyote vimejengwa Na watanzania bila kujali chama watu wamekatwa mishahara, wameuza mifugo kuchangia viwanja
Chadema imewashinda hata kujenga ofisi yao tu,
Kazi kujifanya wanajua kila kitu kuhusu Mali za wengine!!
Shame on you
baada ya mfumo wa chama kimoja kufa ilitakiw baadhi ya mali za ccm zirudi serikalin maana upatikanaji wake uligharimu jasho la watanzania wote.....
baada ya mfumo wa chama kimoja kufa ilitakiw baadhi ya mali za ccm zirudi serikalin maana upatikanaji wake uligharimu jasho la watanzania wote.....
Shem on u. Umezaliwa Leo?soma sentensi yako ya kwanza kama utaielewa!Chadema imewashinda hata kujenga ofisi yao tu,
Kazi kujifanya wanajua kila kitu kuhusu Mali za wengine!!
Shame on you