Kuhusu utaratibu

Kuhusu utaratibu

Nakuharibia move nini..........kila mtu na bahati yake

Mi hujui namilikiwa? Recently hukuona Thrade yenye headin'
"Judgement Mtamu si haba"
Hapa mie kama Iniesta natoa mapande ya mwisho tu, kazi kwako nyavu zina njaa huzioni ?
Cheka na nyaya babaake !
 
Mi hujui namilikiwa? Recently hukuona Thrade yenye headin'
"Judgement Mtamu si haba"
Hapa mie kama Iniesta natoa mapande ya mwisho tu, kazi kwako nyavu zina njaa huzioni ?
Cheka na nyaya babaake !
charminglady mwenyewe anaona raaaha watu wavyohema! una balaa we mtoto, ngoja nikalale miye
 
Last edited by a moderator:
Sawa .. Na mimi nakubali,kuwa si hela tu ya kupimia kumwambia waifu au kutomwambia. Hata kutoka baada ya lunch siku za weekend,si lazima kujulishana ila ajue tu huyu kaenda kupiga mitungi mahali..
 
Ni ulimbukeni.....pesa kama hiyo unabana tu moyoni umwambie mwingine ili iweje...Aidai kwa niaba yako?

Samahani natoa maoni tu sijaoa

Kimtazamo wangu hoja yako ina sense .
 
Kaizer mwanzo wa ndogo ni kubwa so pesa ni pesa anapaswa kuwa mkweli wi-fi wake

Ummu!
Niruhusu kukufahamisha jambo moja, awali nitangulize kusema siupingi msimamo wako bt nachodhamiria kukujuza ni kwamba , hutokea baadhi ya wkt busara husema "Si kila kweli hutakiwa zisemwe au ziwekwe wazi ktk uasilia wa ukweli wake"
Hapa maana yangu ni kua kuna kweli zingine zihiridhishwapo huacha side effects mf.
> Kudhalilisha
> Kuumbua
> Kuvunjisha couple
> Kuumiza mtu akawa desperate
> Kufungisha mtu jela
n.k n. k
 
Last edited by a moderator:
Sawa .. Na mimi nakubali,kuwa si hela tu ya kupimia kumwambia waifu au kutomwambia. Hata kutoka baada ya lunch siku za weekend,si lazima kujulishana ila ajue tu huyu kaenda kupiga mitungi mahali..

Mkuu tuko pamoja ki'vision .
 
shindwa shindwa kwa jina lakooooooo!!!!!!!!! nakukemea unajua wakati huo nilikuwa church kwenye mkesha lolest ngoja baba mchungaji aje akusikie!!!!!!

halafu charminglady hivi mchumba gani anakung'ang'aniza harusiz a gharama? achana naye na namkemea!
 
Last edited by a moderator:
Judgement,kwani ki utaratibu mnashirikiana mrs katika mambo ya pesa? Nikimaanisha mshahara wako na mapato mengine ya kwako anayajua na matumizi yako anayajua? Aisee.
 
acha nipite tu mie.... Maana nikikuazima kuanzia 30,000 lazima patna ajue.....loh........
 
Back
Top Bottom