kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 304
Jamani kwema mazee mambo Shwari? Maulidi vipi? Eebwanae Mimi Nina maswali kadhaa kuhusu hawa wadogo zetu waliomaliza std seven mwaka huu, je wameanza kupangiwa shule za kwenda mwakani? Na kama wamepangiwa je shule zimewekwa kwenye mtandao gani kwa sababu nifungua website ya necta naona mapichapicha tu, swali jingine mtoto aliyepata wastani wa c anapata shule first selection au? Nina imani wabobezi wa elimu hasa elimu ya msingi wamo humu na watanijibu na kunielewesha vizuri kuna Dogo yupo kijijini anataka ajue na accesses ya information kwake anitegemea mimi niliyeko mjini, karibuni wakuu