Kuhusu upangaji wa shule kwa darasa la saba waliomaliza mwaka huu 2016

kadinali JM

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
379
304
Jamani kwema mazee mambo Shwari? Maulidi vipi? Eebwanae Mimi Nina maswali kadhaa kuhusu hawa wadogo zetu waliomaliza std seven mwaka huu, je wameanza kupangiwa shule za kwenda mwakani? Na kama wamepangiwa je shule zimewekwa kwenye mtandao gani kwa sababu nifungua website ya necta naona mapichapicha tu, swali jingine mtoto aliyepata wastani wa c anapata shule first selection au? Nina imani wabobezi wa elimu hasa elimu ya msingi wamo humu na watanijibu na kunielewesha vizuri kuna Dogo yupo kijijini anataka ajue na accesses ya information kwake anitegemea mimi niliyeko mjini, karibuni wakuu
 
Habari wapendwa!!! mm nna mdogo wangu wa kike namtaftia shule nzury ya olevel anaanza kidato cha kwanza iwe ya serkali na bording
 
Jamani kwema mazee mambo Shwari? Maulidi vipi? Eebwanae Mimi Nina maswali kadhaa kuhusu hawa wadogo zetu waliomaliza std seven mwaka huu, je wameanza kupangiwa shule za kwenda mwakani? Na kama wamepangiwa je shule zimewekwa kwenye mtandao gani kwa sababu nifungua website ya necta naona mapichapicha tu, swali jingine mtoto aliyepata wastani wa c anapata shule first selection au? Nina imani wabobezi wa elimu hasa elimu ya msingi wamo humu na watanijibu na kunielewesha vizuri kuna Dogo yupo kijijini anataka ajue na accesses ya information kwake anitegemea mimi niliyeko mjini, karibuni wakuu
washatangaza kama wiki mbili zilizopita nenda kwenye ofisi za kata utaona majina........Mwanafunzi mwenye daraja C anapata shule iliyopo ndani ya kata yake(first selection)
 
Naomba ushauri wa shule nzuri ya O level, maana dogo kamaliza primary,kapata B average.

NB. Nafahamu kwa baadhi ya shule hasa zenye ufaulu mzuri tumechelewa..
 
Mpeleke international School of Tanganyika Masaki Campus wana Secondary School pale
 
Back
Top Bottom