Kuhusu TRA Oral interview

Kambiaso

Senior Member
Apr 2, 2012
145
120
Tarehe 15dec mwaka jana kulifanyika Oral interview kurasini kwa nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA,,nilifanya usahili kwa nafasi ya customs,nahitaji kujua kwa anaefahamu kama TRA tayari wameshaita watu kazini.
 
Mmmh mlikuwa 150? Ndio hao, Tangu umefanya application mpaka umeitwa written interview ni mda gani? Mbona unakuwa na haraka sasa!
 
Asanteni wakuu kwa mchango wenu,acha tuendelee kuvuta subira.
 
Back
Top Bottom