Interview za TRA hazijatenda haki

HakiKwanza_2015

JF-Expert Member
Nov 16, 2022
345
505
Habari wakuu.

Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.

Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua kwamba una irrelevant qualifications?

Mtu unakopa pesa ili uweze kufika mkoa ambao umeitwa kwenda kufanya Interview maana interview inakukuta kwenye vibarua vya watu unapambana kujitolea alafu unafika unapambana kusoma usiku na mchana unajiandaa vizuri unaingia kwenye mtihani unafanya vizuri unafaulu kwa marks za juu kabisa alafu unakuja kuambiwa umefaulu lakini hujachaguliwa kwakua una irrelevant qualifications? Kwanini mliita mtu in the first place?

INTERVIEW IRUDIWE ILI HAKI IWEPO. MCHAKATO MZIMA WA
INTERVIEW URUDIWE, WATANGAZE UPYA ILI WATU WAOMBE UPYA NA WENYE QUALIFICATIONS HUSIKA WAOMBE NA MUWACHAGUE KWA HAKI NA USAWA. WAHANGA NI WENGI SANA NA INAUMIZA.

NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.

Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota.

Nimeambatanisha na mfano wa uonevu huo uliotendeka.
Na TRA mlipotaka kufanyisha interview nyinyi wenyewe hiki ndo mlitaka kufanya? Haki itendeke mchakato urudiwe
 
Attachments

  • IMG_4237.jpeg
    IMG_4237.jpeg
    356.8 KB · Views: 31
Acha kulalamika, hizo nafasi huwa zinakuwa na watu tayari ni formalities tu wanatimiza kuita watu interview. Pole sana.
Naamini ile ni taasisi ya serikali ina sheria, mifumo na utaratibu. Nachelea kusema kwamba nafasi zote wanapewa watoto wa wakubwa. Lakini sio sawa mtu ufaulu kwa marks kubwa kiasi hiko alafu waseme hau qualify? Sasa kama mtu haqualify amefanyaje mtihani? Kwanini mtu asiachwe afanye mtihani akakose mwenyewe mbele ya safari
 
Hata mimi niko upande wako wa dosari zilizopo kwenye huu mchakato. Naomba kujazia kwa kuuliza swali dogo. Msingi wa malalamiko yako kwenye huu uzi ni waliofaulu na kuambiwa wana, “Irrelevant qualifications”. Na mfano mzuri ni picha uliyoambatanisha yenye wasailiwa 49 na waliojibiwa “Irrelevant qualifications” wako 3 tu.

Yaani unamaanisha kwa uwiano huo watu 46 warudishwe tena kufanya mtihani kwa sababu ya watu 3 au ni afadhali tu TRA ingeangalia namna ya kuwatafakari hao 3 bila kuathiri waliobaki?
 
Asante kwa kuchangia lakini nimesema huu ni ‘mfano’ wa matokeo. Pdf ipo ina majina ya watu wengi tu ambao wameandikiwa hivyo. Ina maana mtu mwenye marks 50 ana uwezo mkubwa kuliko kwenye 91? Sio kwamba ni hao watatu tu. Ni watu wengi sana. Na wengine walizuiwa siku ya usaili kabisa waliambiwa wasiingie kwenye chumba cha mtihani kwakuwa wana irrelevant qualifications.

Kwanini haki isitendeke tu
 
Mkuu ipo hivi, Mfano hizo kazi za Custom kuna mtu ana Masters lakini ukute Anatakiwa mtu wa Bachelor, au ana Bachelor Lakini kaomba kazi ya Diploma...

Mfumo ukamchagua , System ilikosea ikamchagua.... Au jamaa Kaweka Vyeti vya Degree ...ila kwenye barua kajichanganya akaandika ana masters sasa baada ya usahihishaji na kupanga matokeo wakajiridhisha...kwann asiandikiwe ana irrelevant Qualification??

Leo nenda kwenye Taasisi yoyote , wametangaza kazi za Diploma, alafu wewe uwe na Master ..but kwenye system ume upload Diploma vizuri tu.

Siku ya oral mpo wawili mwenzako ana Diploma, wewe una Diploma na masters umeingia kwenye Panel ukajichanga wakati wa kujielezea Ulataja na masters yako, wakakudadis vizuri ukajaa....

Wewe kwa Akili yako kisoda ,unafikir hapo hata ukipata 100 watakuchukua? Wakamuacha mwenye qualification??
 
NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.

Kwahiyo umeambiwa irrelevant kisha interview irudiwe na wewe na irrelevant yako uende tena ili matokeo yakitoka uambiwe tena irrelevant sasa hiyo interview itarudiwa mara ngapi Mkuu.

Cha msingi jipange kwa wakati mwingine.
 
Asante kwa kuchangia lakini nimesema huu ni ‘mfano’ wa matokeo. Pdf ipo ina majina ya watu wengi tu ambao wameandikiwa hivyo. Ina maana mtu mwenye marks 50 ana uwezo mkubwa kuliko kwenye 91? Sio kwamba ni hao watatu tu. Ni watu wengi sana. Na wengine walizuiwa siku ya usaili kabisa waliambiwa wasiingie kwenye chumba cha mtihani kwakuwa wana irrelevant qualifications.

Kwanini haki isitendeke tu
Hapa ndipo ninapokuona mjinga kwamba ww unaangalia marks au sio. Kibaya sisi kama TIHARAHEI tunatafuta watu washindani nyie mnaojidai mnajua kukariri sana tunawatema maana hamna akili. Alafu watoto wa mabosi zetu watafanya kazi wapi au unataka mabosi zetu watuachishe kazi madogo waje wafanye kazi
 
Habari wakuu.

Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.

Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua kwamba una irrelevant qualifications?

Mtu unakopa pesa ili uweze kufika mkoa ambao umeitwa kwenda kufanya Interview maana interview inakukuta kwenye vibarua vya watu unapambana kujitolea alafu unafika unapambana kusoma usiku na mchana unajiandaa vizuri unaingia kwenye mtihani unafanya vizuri unafaulu kwa marks za juu kabisa alafu unakuja kuambiwa umefaulu lakini hujachaguliwa kwakua una irrelevant qualifications? Kwanini mliita mtu in the first place?

INTERVIEW IRUDIWE ILI HAKI IWEPO. MCHAKATO MZIMA WA
INTERVIEW URUDIWE, WATANGAZE UPYA ILI WATU WAOMBE UPYA NA WENYE QUALIFICATIONS HUSIKA WAOMBE NA MUWACHAGUE KWA HAKI NA USAWA. WAHANGA NI WENGI SANA NA INAUMIZA.

NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.

Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota.

Nimeambatanisha na mfano wa uonevu huo uliotendeka.
Na TRA mlipotaka kufanyisha interview nyinyi wenyewe hiki ndo mlitaka kufanya? Haki itendeke mchakato urudiwe
Ile interview imewekwa pale tu as a formality yaani danganya toto lakini watu wanakuwa tayari walishapangwa na wengine walishatoa rushwa ya ngono kitambo wakisubiri kuitwa tu kwenda kuboronga kazi za watu na ndiyo maana wafanyakazi wengi hapa Tanzania haswa wanawake hawana ufanisi na kazi zao, wengi wamewekwa tu pale as chakula cha mabosi wakiwahitaji.
 
Unao ushahidi? Njia ya kufanikiwa ni kudondoka na kunyanyuka kisha kujifunza ili siku nyingine ufanye marekebisho.
 
Habari wakuu.

Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.

Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua kwamba una irrelevant qualifications?

Mtu unakopa pesa ili uweze kufika mkoa ambao umeitwa kwenda kufanya Interview maana interview inakukuta kwenye vibarua vya watu unapambana kujitolea alafu unafika unapambana kusoma usiku na mchana unajiandaa vizuri unaingia kwenye mtihani unafanya vizuri unafaulu kwa marks za juu kabisa alafu unakuja kuambiwa umefaulu lakini hujachaguliwa kwakua una irrelevant qualifications? Kwanini mliita mtu in the first place?

INTERVIEW IRUDIWE ILI HAKI IWEPO. MCHAKATO MZIMA WA
INTERVIEW URUDIWE, WATANGAZE UPYA ILI WATU WAOMBE UPYA NA WENYE QUALIFICATIONS HUSIKA WAOMBE NA MUWACHAGUE KWA HAKI NA USAWA. WAHANGA NI WENGI SANA NA INAUMIZA.

NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.

Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota.

Nimeambatanisha na mfano wa uonevu huo uliotendeka.
Na TRA mlipotaka kufanyisha interview nyinyi wenyewe hiki ndo mlitaka kufanya? Haki itendeke mchakato urudiwe
pole interview haijawahi kutenda haki ila ni kwa yule aliyechaguliwa tu
 
Back
Top Bottom