Lady Janet
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 167
- 161
Hivi status za watsapp huwa zina maana gani haswa kwa mfano mtu unaandika status iko hivi
"Mtasema sana na usiku mtalala"
"Kaa chonjo saa mbaya"
"Mama kijacho punguza kiherehere"
Hivi hapo unakuwa umemwambia nani hayo maneno sasa mi binafsi naonaga kama ni upeo mdogo wa kufikiri,kama nimekosea kwa anaeona umuhimu mnielekeze.
ASANTENI,