Kuhusu Saida Karoli mama wa Chambua kama karanga

Omukitwe

Member
Mar 29, 2016
91
91
Wapendwa naomba kujua habari za Saida Karoli. Kwa sasa yuko wapi na kama bado anajihusisa na muziki?

Naombeni pia mwenye namba yake anipm kwa maana mbali na kujua hayo nayouliza hapo juu nilipenda nifanye nae biashara. Naomba msaada wenu.
 
Saida Karoli kwa sasa shughuli zake anafanyia Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla. Ni maarufu kwenye vilabu vya pombe za kienyeji, pia Uganda ni maarufu na nyimbo zake zinapendwa sana kama wahaya tunavyopenda za kiganda hasa wanyankole.

Huyu hatomsahau Mutta baada ya kumtumia kujineemesha na baadae kumtupa akiwa katika hali mbaya.

Ananikosha na wimbo wake wa Kaisiki, wimbo mtamu una ujumbe murua.
 
Asante kwa taarifa mkuu. Naomba kama kuna uwezekano nipate mawasiliano yake make nina shida nae kwa business
Saida Karoli kwa sasa shughuli zake anafanyia Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla. Ni maarufu kwenye vilabu vya pombe za kienyeji, pia Uganda ni maarufu na nyimbo zake zinapendwa sana kama wahaya tunavyopenda za kiganda hasa wanyankole.

Huyu hatomsahau Mutta baada ya kumtumia kujineemesha na baadae kumtupa akiwa katika hali mbaya.

Ananikosha na wimbo wake wa Kaisiki, wimbo mtamu una ujumbe murua.
 
Mimi natafuta sana nyimbo yake - mkazi wange. Kama mtu anayo please aweke hapa.
 
Saida kaloli yupo mala nyingi kipindi kama hichi cha mavuno hupiga shoo zake katika vijijini vya kanda ya ziwa na wasanii wa ngoma za kisukuma kina madebe kaudagara nk, naimani ukienda shinyanga wilaya ya kahama ukiwatafuta wacheza ngoma za asili za kisukuma wanaweza kuambia saida yupo wapi maana mda mwingi huwa wandamana naye vijijini uko
 
Saida Karoli kwa sasa shughuli zake anafanyia Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla. Ni maarufu kwenye vilabu vya pombe za kienyeji, pia Uganda ni maarufu na nyimbo zake zinapendwa sana kama wahaya tunavyopenda za kiganda hasa wanyankole.

Huyu hatomsahau Mutta baada ya kumtumia kujineemesha na baadae kumtupa akiwa katika hali mbaya.

Ananikosha na wimbo wake wa Kaisiki, wimbo mtamu una ujumbe murua.
Weka akiba mkuu
 
Wapendwa naomba kujua habari za Saida Karoli. Kwa sasa yuko wapi na kama bado anajihusisa na muziki?

Naombeni pia mwenye namba yake anipm kwa maana mbali na kujua hayo nayouliza hapo juu nilipenda nifanye nae biashara. Naomba msaada wenu.

Mkuu ukimpata na mimi ni PM huku niliko yuko juu sana hata hawajui kama ameisha .... yaani hapa ukitaja wanamuzic wa tanazania wa kwanza wanataja Saida karoli na wa pili Mr Nice sijui kwa nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom