.......jamani kwani imekuwaje????????
Hahahah...nacheka utadhani mazuri, sasa mkuu hata ukipafahamu sidhani kama itasaidia kitu chochote.
kwakweli mkuu hata mie nimeshindwa kumsoma kabisaHeeee kumbe aliingia January 2013 Lol
Huyu alidhamiria aisee si bure!
Mbona amejiharibia kwa mambo ya kipuuzi?
Wenzake wanakimbia na mabilions yeye hata kilaki hakifiki? Duh
Kweli wanadamu tunatofautiana ujasiri!
Nawachukia watu wa namna hii!
Kwanini upoteze utu wako kwa pesa?
-----------------------------------
I miss you Kipipi