luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
asante umemjibu vizuri njoo nikutoe out mda huuSio wote huyo wa kwako tu ndo kakupanda kichwani
asante umemjibu vizuri njoo nikutoe out mda huuSio wote huyo wa kwako tu ndo kakupanda kichwani
Ndo ivo..hamna mwanaume kicheche anaweka mwanamke dp mana anajua anajiharibia kwa wanawake wengine...Hehehe... Kumbe?
NitajaribuTafuta bebez humu Jf hua hawana time na profile picha yako.
Wewe upo?????Sio wote huyo wa kwako tu ndo kakupanda kichwani
Teh teh! Username ya JF simpi. Atakuta madudu kibaoteh teh teh wewe kila siku kumshikia bango mwenzio kuhusu dp yake...
yeye atakuacha?
anyways wee weka upendavyo, status weka sitaki maswali,
Au uichukue picha ya mdada na ya kwake uziweke pamoja.