Kuhusu NMB

mkuu kama umeitwa kwenye interview wewe kama wewe na haujatumia kitenzi kisaidizi (baba kanileta) basi komaa. Ila ninavowajua NMB ingawa sio zone zote hawakupi kazi kama hawakujui, mtaenda mtapiga interview then watapata kazi wale waliopanga wapate vinginevo wewe ni potential sana na umewathibitishia hivo na kweli wanakuhitaji.
 
mkuu kama umeitwa kwenye interview wewe kama wewe na haujatumia kitenzi kisaidizi (baba kanileta) basi komaa. Ila ninavowajua nmb ingawa sio zone zote hawakupi kazi kama hawakujui, mtaenda mtapiga interview then watapata kazi wale waliopanga wapate vinginevo wewe ni potential sana na umewathibitishia hivo na kweli wanakuhitaji.

so,sisi watoto wa "kajamba nani" tuzisahau post hizo eh!
 
Back
Top Bottom