kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,363
- 10,101
Usiombe ndugu yangu uwe na bima Ya Afya, ile Ya NHIF inayoitwa Ya Vifurushi. Itokee ndo Unaumwa halafu unapata huduma hospitali za Serikali mfano Muhimbili.
Kitakachokukuta Kuhusu gharama za Vipimo na dawa ni heri yule ambaye hana bima.
Bima hii, bima hii, bima hii Ya Afya TAIFA ni zaidi ya Chenga Ya Mwili..! Utayajua haya siku yakikukuta..usiombe.!
Najua mashuhuda watajitokeza kwenye hili..Usiombe kabisa.