Kuhusu namba zetu za simu!

Kuhusu namba zetu za simu!

Status
Not open for further replies.

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
19,932
Reaction score
5,566
Ikiwa namba yako ya simu inaishia na:
0-malaya
1-mkweli
2-*****
3-mjinga
4-mzushi
5-mrembo
6-mbulula
7-mwema
8-muongo
9-zezeta mtarajiwa
Mwenzangu uko namba ngapi sema ukweli wako!
 
Wengine tuna namba nyingi, kwa hiyo mtu anaweza kuwa mkweli, muongo, mwema, etc at the same time?
 
Ikiwa namba yako ya simu inaishia na:
0-malaya
1-mkweli
2-*****
3-mjinga
4-mzushi
5-mrembo
6-mbulula
7-mwema
8-muongo
9-zezeta mtarajiwa
Mwenzangu uko namba ngapi sema ukweli wako!

line ya voda inaishia namba 1 while airtel no. ya mwisho ni 8, sasa huon unajicontradict mkuu, yan mie ni mkwel na muongo? Haimake sense
 
Jana ilikuwa sikukuu halafu imeangukia mwisho wa mwezi!
 
Ikiwa namba yako ya simu inaishia na:
0-malaya
1-mkweli
2-*****
3-mjinga
4-mzushi
5-mrembo
6-mbulula
7-mwema
8-muongo
9-zezeta mtarajiwa
Mwenzangu uko namba ngapi sema ukweli wako!

Ya jeikei inaishia na 6
 
Hivi hata Dume linaweza kuwa li-rembo? au ndo itakuwa hasara?
 
...Kweli kuna wakati Mtu Unakosa Kazi....! :nimekataa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom