Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
1. Mkuu nadhani kwenye format ya DVD hakuna frmat ya DVD ya PAL au format ya DVD ya NTSC. hizo ni format za Movie zinazochezwa na kutambuliwa na kudekoiwa na DVD player
- Kwani DVD player za PAL system husoma DVD za namna gani?
- Hivi katika kutengeneza DVD kuna habari ya kuseti iwe PAL ama hakuna?
2. Kuset PAL au NTCS kwende DVD inategema content.Sasa kama kwenye DVD umeweka AUDIO tu au file za kaawaida PAL zina kazi gani? Kwa uelewa wangu mechanics ya hizo PAL na NTC ipo kwenye player na sio media . But unaweza kunielemisha