Kuhusu Mbudya niende na wife au kitaalam natakiwa niwe peke yangu

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
628
1,648
Kama sio mtaalam wa burudani sio lazima uchangie.

Nasikia sikia Mbudya, Mbudya kila kona, nataka nitoke na shemeji/ wifi yenu this weekend.

Niende nae au ntajibania mema ya nchi akiwa pembeni?
 
Hivyo Visiwa Huwa Navipita Nikienda Zanzibar

Muhimu Nendeni Wote Mkapande Boti Msasani Chap Chap
 
Back
Top Bottom