KUHUSU KUZAA KWA MKATABA

mh jina nimesahahu ila nakumbuka wahusika ni mtunisi na yule dada wa kwenye lost of twince anaitwa mikala
 
Think twice.

Wewe ulizaliwa kwa mkataba?
Binafsi sijazaliwa kwa mkataba ila ni bora ningezaliwa kwa mkataba mana nilikanwa toka tumboni na baba angu...tena alisaini kabisa kwamba mimba si yake..alikuja kukubali baadae nikiwa na miaka 12 na ilikua too late mana mama angu alijua kujitosheleza kwa malezi so sikumshobokea wala nn nilimtafuta tuu nijue yukoje muonekano...baada ya hapo kila mtu na mambo yake.
 
Ila kwa jinsi wanawake wasivyo na akili,utampata tu mjinga mwenzio
 
Baadae Mara paap NDOA ZA MIKATABA.Mambo ya "kizungu" yanaanzaga kupenya hivi hivi.
 
Pole. Accept it and forgive him.

Set your heart free.
 
Yakwangu, atunze akizaliwa baada ya mwaka 1 namchukua mtoto naishi naye mwenyewe
Hivi laki na ishirini ni pesa? Watu mna dharau sana... Mimba miezi tisa kupumua kwa tabu, kukaa kwa shida, kulala majaliwa, kula matatizo... Then utoe laki na ishirini!? Tafuta pesa kwanza kwa hela hizo hutakiwi kutafuta incubator..... Kama vipi oa tu mlee mimba bure
 
zeshchriss ok taja kiasi cha chini unachofikiria kidogo ni fair mtu atoe
 
Mi mwenyewe nimeshangaa best, kwa mateso yote yale miez tisa non stop halafu laki na ishirini duh, mimba sio mchezo !
 
Mi mwenyewe nimeshangaa best, kwa mateso yote yale miez tisa non stop halafu laki na ishirini duh, mimba sio mchezo !
Wanadhani kubeba mimba Sawa na kwenda dukani kununua mchele kuleta home....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…