KUHUSU KUZAA KWA MKATABA

Dah huu Uzi ungeweka jukwaa la ajira na tenda nadhan wangekuja wengii

Apa wanaona masihara..
 
Mm Niko teyar mkuu ila nataka ela ya kukubebea yote kwanza then ya kila mwenzi kwaajili ya mimba mpk miaka miwili
Hiyo haina shida,ni suala la kujadili
 
Mh pole kaka..umenikumbusha ile bongo movie ya mtunis alikua anaona wanawake ni pasua kichwa akatafuta wa juzaa nae tu wakafunga ndoa ya mkataba miaka 2 sijui nimesahau kidogo...ila mwisho wa siku aligundua yuke dada ni wife material.

mama ake na yule mwanamke alimwambia binti yake hakuna mwanaume anaependa kulea mtoto peke ake huyo atakua amekosa wife matetial we nenda kamuaminishe bado mpo wanawake mnaojua ndoa nnn.
 
Hujabeba unataka ela......hakuna pimbi wa kufanya ivyo
Mm Niko teyar mkuu ila nataka ela ya kukubebea yote kwanza then ya kila mwenzi kwaajili ya mimba mpk miaka miwili
 
Rene1 iwe kama sh ngapi i nafikiri isizidi 200,000 kuanzia kupata ujauzito uwe wa miezi 2 na kuendelea mtoto akizaliwa tu itakuwa laki 250,000 hapo hadi mwaka 1 namchukua.
Nyokoo ! Haitoshi.ongeza dau
 
Mh hii kali na usipo beba na ikitokea ikitoka hata mara 2 ujue mpaka kubeba tena inachukua muda kdg, ikitokea inatoka baada ya miezi 3 na hela umeshachukua mtaanza upya tena kutoa dah changamoto hii
 
Soooo brave mkuu !!!utampata tu wapo wengi wenye kutaka pia mi mwenyewe ntakuja fanya hivyo
 
Hapo utakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia shauri yako. Inahidi ukaanae angalau miezi miwili uwe na uhakika kuwa mtoto ni wako
Kuna watu wameoa na wanalea watoto ambao si wao hao unaongelea vipi ?hawajakaa na wake zao?
 
Inaitwaje hiyo muvi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…