Kuhusu kutopewa hela ya kujikimu

Kuhusu kutopewa hela ya kujikimu

Queen lizy

Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
24
Reaction score
6
Habari za kazi , samahani ninauliza kuwa ukipata carry over chuoni, ndo chanzo cha boom kuanza kusumbua Kwa mwanachuo? Naomba mnijuze maana maisha ni magumu chuoni , maana jina langu sikuliona kwenye sheet, watu wanasema Kwa sababu ya carry over niliyopata.
 
pole mtoto mzuri. Kuwa makini pia na sponsors wa humu manake hawakosi kujitokeza.

tukirudi kwenye mada ngoja waliopitia mfumo huo walete majibu
 
Habari za kazi , samahani ninauliza kuwa ukipata carry over chuoni, ndo chanzo cha boom kuanza kusumbua Kwa mwanachuo? Naomba mnijuze maana maisha ni magumu chuoni , maana jina langu sikuliona kwenye sheet, watu wanasema Kwa sababu ya carry over niliyopata.
Mimi bila kuona picha ya mtoa mada hua sichangii weka picha kwanza nikushauri
 
Inadepend na chuo unachosoma. Kuna baadhi ya vyuo supplimentary na carry over hazina effect kweny mambo ya mkopo, na kuna baadhi ya vyuo ni mpk umalize supplimentary ndo jina lako liende bodi.
 
Habari za kazi , samahani ninauliza kuwa ukipata carry over chuoni, ndo chanzo cha boom kuanza kusumbua Kwa mwanachuo? Naomba mnijuze maana maisha ni magumu chuoni , maana jina langu sikuliona kwenye sheet, watu wanasema Kwa sababu ya carry over niliyopata.
Wasiliana na Waziri wa Fedha/Mikopo wa Serikali ya Wanafunzi chuoni kwenu.
 
Utapata bado majina Hadi yarud kutoka board
Inadepend na chuo unachosoma. Kuna baadhi ya vyuo supplimentary na carry over hazina effect kweny mambo ya mkopo, na kuna baadhi ya vyuo ni mpk umalize supplimentary ndo jina lako liende bodi.
As long as hujadisco chuo..mkopo wako upo,na hiyo ipo hata kwenye mkataba wako..

Thread closed then..
Ukiwa kwenye pepa huko ili uweze kuepuka supp za ovyo ovyo, ukiona majibu yanafanana mawili ya mwanzo. Tafuta jibu ninalosomeka ''All of the above are correct" weka hilo jibu na mara nyingi huwa lipo herufi D au E.

Halafu endelea kuchapa pepa.

Nadhani umenielewa mleta mada.
 
Hahaha..hapo mzee swali limekupiga za uso mara unaona

(E)all of the above

Fasta tu unacircle au unashade kwenye E..

Hahaha
 
Hiyo huwaa ni nafuu ya mwisho endapo huna uhakika na jibu sahihi.

Ila awe makini pia na ''A, B and C are correct except D" ilihali majibu 2 ya mwanzo ni sahihi ambapo jibu linaweza kuwa pia ''All of the above are correct"
 
True mkuu..mleta mada atakuwa amekupata
 
Hautapata kwa kuwa jina lako kwa upande wa bodi linakua halijahakikiwa.

Labda ujaribu kumshawishi loan officer akushughulikie mapema sana
 
Back
Top Bottom