Kuhusu kutopewa hela ya kujikimu

Kuhusu kutopewa hela ya kujikimu

Usihofu utapata boom, Carrying over haikuzuii kutopata boom..na majina si huwa yanatoka kwa awamu kama kumbukumbu zangu zipo vizur!! kweli life tyt..Nakuombea Upate kwa kweli
 
Ukiwa kwenye pepa huko ili uweze kuepuka supp za ovyo ovyo, ukiona majibu yanafanana mawili ya mwanzo. Tafuta jibu ninalosomeka ''All of the above are correct" weka hilo jibu na mara nyingi huwa lipo herufi D au E.

Halafu endelea kuchapa pepa.

Nadhani umenielewa mleta mada.
The following are not uncommon causes of SAM except_____________
 
Back
Top Bottom