Ngoja nitulie kwanza halafu nitarudi kuja kukupasha mpaka upashike na uache hayo mauchoyo yako,Mimi acha kuwa na roho yenye kutu nataka niwe na mavi haswa lakini kama hujanipa taarifa unakuja hulii kitu. Nishafanya hivyo mara kadhaa na wala sijali.
Kuhusu kula kwa pamoja hayo maneno ya wazee wa zamani hakuna ukweli wowote hapo ndio maana mpaka leo akili zetu migando kwa misemo yao ya kale.
Kuhusu mzee wangu namtunza kama mboni ya macho nime mjengea nyumba na kila mwenzi nampa hela ya matumizi 500k.
Narejea tena bila ya taarifa sikukaribishi kula sio kama mchoyo bali mawasiliano yapo kwanini ujilete kama jini au malaika mtoa roho bila ya taarifa.
No No No hujafanya kosa, You kept it real, And I'm keeping it Real they were "uninvited guests", ukimwambia mtu asienauelewa atakuona huna heshima ila Mimi ntakuona una " courage" kama yule mtoto wa "Bwana tazama tunasamaki wawili...."Hellow,
Mimi nakaa nyumba moja na rafiki yangu ambae ni teacher wa sekondari, na kwenye bajeti yetu ya mwezi kila cku tumeweka portion ya watu 2, kwenye swala la msosi.
Juzi Juzi ticha alitembelewa na rafiki zake wawili wa kiume muda wa mchana, walimkuta teacher akiwa anapika, chakula kilipoiva, teacher alipomaliza kukaribisha rafiki zake msosi nilimuuliza kama wageni waliokuja walitoa taarifa kabla ya kuja, teacher akasema hamna c wamekuja kunsalimia tu, na blah blah nyingine, mm nikawauliza wageni wale kama walitoa taarifa kabla ya kuja nao walisema oh unajua, oh.., mm nkamwambia teacher live mbele ya wageni kuwa share ya msosi iliyopo ni ya watu 2, na nliwaambia wageni kuwa kwa vile mmekuja bila taarifa cha kuwasaidia ni kuwapa maji, msosi uliopo hapa ni wa watu 2, so sitakubali tu-share na nyie huu msosi, bac wale wageni walikaa pale mwishowe wakaondoka, hlf baadae teacher alintupia lawama kuwa I was rude, hiv jamani kuna kosa lolote nlilolifanya?
Naombeni mawazo yenu
Hellow,

Angenunua japo soda wakanywa wote na hiko chakula pia,usiseme mtu kisa chakulaDada sioni hapo kama kuna uchoyo hivi simu zote zilivyoojaa hawajaweza hata kumpigia mwenyeji wao kama wanakwenda kumuona. Sasa kama wangelikula si jamaa angelala na njaa na kubakia kuwasema. Bora alivyo waabia kuliko kuwasema
Keeping it real wapi, uchoyo tu,tena kabisa anawaambia oh bajet sijui nini,..wapi mtaishi msipate wageni wa ghafla??? Ndo afrika hii hamjazoea tu?No No No hujafanya kosa, You kept it real, And I'm keeping it Real they were "uninvited guests", ukimwambia mtu asienauelewa atakuona huna heshima ila Mimi ntakuona una " courage" kama yule mtoto wa "Bwana tazama tunasamaki wawili...."